CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ukikua utaacha. Nimegundua ni utoto tu ndiyo unaokusumbua.
AKILI ZA KITOTO NA KIPUMBAVU KABISA.
MTU MZIMA HOVYOOOOOOOO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utaacha. Nimegundua ni utoto tu ndiyo unaokusumbua.
WANATAMANI KUSEMA IHEFU NI MBOVU ILA WAKIKUMBUKA KUWA WALITOA BIKRA VICHAKANI WANABAKI KUWASHWA MATAKO TU[emoji1]Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!
Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!
Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
Na ni walevi hao hao waliompiga aliyewaharibia record yenu ya unbeaten Uto wahed 😁Ile sio timu ni walevi tu..🤣
Mtasubri sana ,,mara ya mwisho uto kumfunga simba ligi kuu,,nazani wew bado ulkuw form one C umejaa kamasi mpaka kweny shati😆😆😆Na aziz ki yupo tu avic town anatest mashuti Yake kwaajili ya November Tano.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app