Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa chuo bwana mnashida sana. Hebu someni mpate JPEI nzuri muajirike kwa urahisi.Habar za J2 wana MMU.
Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu kwake, ila kuna kipindi tulikuwa tunakwazana ila uzur tulikuwa tunaombana msamaha na yakaisha.
Tatzo limeanza mwaka huu, baada ya kumaliza six na kupangwa chuo fln kweny hili jiji la miamba...alianza vitabia vya kuanza kusema yuko bussy japo nkiomba game kila wknd alikuwa ananiletea frsh na kama show nlikuwa nasimamia vizur as if naenda kupokea mshahara mwshon mwa mwezi, muda ulivyokuwa unaenda nlianza kuhic utofaut kweny show kwan mbususus ilikuwq ime expand sana afu wkt wa sex anadai kuwa anapata maumivu.
Baada ya kumdodosa sanaa akanambia alitumia pads fln iv zikamletea fungus,sikuamin sanaa ila kwa sababu nlikuwa nampenda ikabd tu niendelee kuamin japo kishingo upandee.....mwez huu watatu wkt nikiwa kweny maomboleze ya Rais wetu,nikawa suprised na msg kutoka kwake nayo ilijieleza vzur"Eric its not my offical name,naomba tuachane,nina guilty moyon na sina aman kabxa japo nakupenda ila si deserve kuwa gf wako, you deserve better"ikabid nimuulize 'wht mistakes have u done?'
Ndo ananambia kacheat na moyon hana aman, surely nlipata maumivu ila nkajarbu sasa kumpgia ili nijue kwa nn alifanya hivo ili nixt nikiingia kwny mahusiano mengine nijue nini natakiwa nijirekebishee,cha ajabu aliniblock..nlichofanya kwa kwel nlimtumia msg ambazo zilikuwa too worst kwake na hapo nkaamua kumpotezea cz alichoamua niliona kama kadhamiria...tumekaa kama mwez hiv hakuna mawasiliano, nikawa nmepost pc fln nipo kiwanja na wana tunakula maisha, kuonap vile akaanza kunijarbu na msg ohh!mara umependeza...nliamua kukaa kimya bila kumjibu,akafanya kumtumia rafiki yake anipange ili turudiane.
Nilichoamua ni kumtongoza rafiki yake,baada ya kupata taarifa zile akaanza kupanic kwamba nawezaje kumtongoza rafik yake? Tukawa tumetoleana toxic words na kila mmoja akala kona yake..In short huyu demu alikuwa ananifanyia dramaa cz alikuwa anajua kuwa kwake siwez chomoa ila nmeamua ku move on..imeisha kama miez miwil na hapa naona nlimtolea maneno makali ambayo ki ubinadamu sina budi kumuomba msamaha ili kila mtu awe na aman huko aliko kwan mm huwa sina tabia ya kumrudia mwanamke msalitii, so juz nkasema acha n excuse kwa maneno makali nliyomtolea....
Dem kawa mkali na kusema kuwa hawez nisamehe na wala hatak kuona msg zangu na akanibloc ..yeye anahc labda nataka turudiane wkt mim sipo kabxa ila nataka tuachane tu kwa aman cz uadui hauna maana hasa kama mlipendana ila ilikuwa ngumu kufikia expectatios
Yeye ndo yuko chuo mkuu,mi nishaua kitambo sanaaMnasaini lini boom la pili
Najikuta nna guilty kwa toxic words,lengo c kurudiana ila ni move on kwa aman kabxaAcha kulialia mkuu,eti kuombana msamaha,Pathetic!....Move on,vuta chombo kingine.
Sirudii matapishi mkuu,lengo ni kuachana kwa aman cz uadui hauna maana kwa dunia ya ss ivUna lolote ulitaka mzigo iv demu angesem natak nikuone ungesem ume move on acha zko bna
Inawezkana sanaaa sema ndo ivo watu wanachukulia kuwa kuachana kwa aman ni njia ya kuja kupasha kiporoHivi Afrika kuna kuachana kwa amani?
[emoji23][emoji23][emoji23]amani irudiwe jmn sikuwepoHivi Afrika kuna kuachana kwa amani?
Unaanzaje kuomba msamaha kwa malaya, muombe Mungu akusamehe siyo hiyo nguchiro, demu anakucheat bado tena unaenda kumuomba msamaha, ndo maana ulichezea block aliona unataka kuanza kujibebisha tu, be a man sikunyingine.Habar za J2 wana MMU.
Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six, bac kijana wa watu nikajitoa kwel na kuonesha care ya hali ya juu kwake, ila kuna kipindi tulikuwa tunakwazana ila uzur tulikuwa tunaombana msamaha na yakaisha.
Tatzo limeanza mwaka huu, baada ya kumaliza six na kupangwa chuo fln kweny hili jiji la miamba...alianza vitabia vya kuanza kusema yuko bussy japo nkiomba game kila wknd alikuwa ananiletea frsh na kama show nlikuwa nasimamia vizur as if naenda kupokea mshahara mwshon mwa mwezi, muda ulivyokuwa unaenda nlianza kuhic utofaut kweny show kwan mbususus ilikuwq ime expand sana afu wkt wa sex anadai kuwa anapata maumivu.
Baada ya kumdodosa sanaa akanambia alitumia pads fln iv zikamletea fungus,sikuamin sanaa ila kwa sababu nlikuwa nampenda ikabd tu niendelee kuamin japo kishingo upandee.....mwez huu watatu wkt nikiwa kweny maomboleze ya Rais wetu,nikawa suprised na msg kutoka kwake nayo ilijieleza vzur"Eric its not my offical name,naomba tuachane,nina guilty moyon na sina aman kabxa japo nakupenda ila si deserve kuwa gf wako, you deserve better"ikabid nimuulize 'wht mistakes have u done?'
Ndo ananambia kacheat na moyon hana aman, surely nlipata maumivu ila nkajarbu sasa kumpgia ili nijue kwa nn alifanya hivo ili nixt nikiingia kwny mahusiano mengine nijue nini natakiwa nijirekebishee,cha ajabu aliniblock..nlichofanya kwa kwel nlimtumia msg ambazo zilikuwa too worst kwake na hapo nkaamua kumpotezea cz alichoamua niliona kama kadhamiria...tumekaa kama mwez hiv hakuna mawasiliano, nikawa nmepost pc fln nipo kiwanja na wana tunakula maisha, kuonap vile akaanza kunijarbu na msg ohh!mara umependeza...nliamua kukaa kimya bila kumjibu,akafanya kumtumia rafiki yake anipange ili turudiane.
Nilichoamua ni kumtongoza rafiki yake,baada ya kupata taarifa zile akaanza kupanic kwamba nawezaje kumtongoza rafik yake? Tukawa tumetoleana toxic words na kila mmoja akala kona yake..In short huyu demu alikuwa ananifanyia dramaa cz alikuwa anajua kuwa kwake siwez chomoa ila nmeamua ku move on..imeisha kama miez miwil na hapa naona nlimtolea maneno makali ambayo ki ubinadamu sina budi kumuomba msamaha ili kila mtu awe na aman huko aliko kwan mm huwa sina tabia ya kumrudia mwanamke msalitii, so juz nkasema acha n excuse kwa maneno makali nliyomtolea....
Dem kawa mkali na kusema kuwa hawez nisamehe na wala hatak kuona msg zangu na akanibloc ..yeye anahc labda nataka turudiane wkt mim sipo kabxa ila nataka tuachane tu kwa aman cz uadui hauna maana hasa kama mlipendana ila ilikuwa ngumu kufikia expectatios
Ahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23]amani irudiwe jmn sikuwepo
Nimeishia hapa kusoma...mwaka 2019, kipindi hicho ndo anakarbia kumaliza form six
Mna umri gani kwani mkuu? Samahani lakiniHabar za J2 wana MMU.

Akikujibu ni-tagUnaomba ushauri gani sasa hapa??
Hello Abrianna? Hope you are doing fine. Jana nilikuota kuwa nimekuvalisha pete rafiki yangu.Mna umri gani kwani mkuu? Samahani lakini