Ili wakalipie gharama za kukuona daktari au sioWaende hospital kwa matibabu , waache kuokoteza dalili na kubugia AZUMA
Huko famasi kwanini wakae vilaza?Shida sio watumiaji shida ni watoaji.ndio inapelekea watumiaji wakariri
Kama hunielewi Nenda Leo ukimkuta pharmacy mtu aliepimwa mkojo akajutwa na UTI angalia dawa anazopewa.lazima waweke azuma.na watu wakimeza baadhi wanapona
Lakini azuma sio antibiotics Kwa ajili ya hiyo shida Bali ya mfumo wa upumuaji
Dawa ya UTI ni ciproflaxacin kama nimepatia
Manesi , ma clinical officer na ma assistant medical officers, na madaktari wajinga wajinga.Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .
Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibukia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.
Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔
Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
Sijui mkuuHuko famasi kwanini wakae vilaza?
Kikawaida na kitafiti, Arithromycin (500mg) si tiba sahihi kwa U.T.I., ni makosa ya kitabibu .Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .
Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibukia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.
Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔
Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
Dawa sahihi ya U.T.I ni ipi?Kikawaida na kitafiti, Arithromycin (500mg) si tiba sahihi kwa U.T.I., ni makosa ya kitabibu .
Kiwango chake ni kidogo kwenye mkojo na hakitoshi kumuua Escherichia coli, aina ya gram negative bacteria.
Mtu akipima akakutwa na U.T.I inatakiwa atumie dawa gani?Hakuna kupona hapo