😅😅N
Weekend ndo siku zakupga hela hzo sasa abiria wengi sana .kiulisia mda ni mchache mpaka aoe ndo patatulia mkuu
Wote mkuu?Askari wanawasumbua.
Kwani hiyo familia si ni ndiyo maisha iliyochagua kuishi mkuu? Kwanini itishwe na kivuli chake yenyewe?Sasa familia inahama na vitu vyote vimeenea kwenye bodaboda pamoja na family members, Kwann tusihame usiku 😂
Mkuu hakuna Kirikuu au Canter au Fuso inapita bure mbele ya wavaa sare nyeupe barabarani. Kama hujui hili ni wazi sio mtumiaji wa barabara zetu.Wote mkuu?
Umeandika nn h boss?Kwani hiyo familia si ni ndiyo maisha iliyochagua kuishi mkuu? Kwanini itishwe na kivuli chake yenyewe?