Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

Me kunawakiti nahama shankupe mmoja akasema

'Yaani vitu vyote vimetosha kwenye kirukuu' 🤭 yuko Pambe hapo.!

Yule mbwa na wa mfano wake siji kuwapangisha kwangu abadan
 
Ni kashashe tu 😀😀
 
Habari wakuu,

Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.

Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?

Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.

Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?

Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Masaki, Oyster Bay, Nairobi, kisasa, shangani,watu wanahama mchana tu,
Huku kwetu uswazi, ni umaskini tu, sitaki watu waone jinsi magodoro,makochi, viti, vyangu vilivyochakaa,
Nakumbuka nilikuwa nahama bunju, sasa Nina vitu vya bei mbaya, ma hisence, samsung tv, friji, washing machine nk, mchana saa Saba,
Kuna namna, watu wanavyokuangalia, kama upo poa, ohhh, jamaa kumbe yupo vzr,maflat tv ya kibabe, sasa kama godoro limechakaa, sinitachekwa, mie,Bora watu wasinijue kwa undani kuhusu umaskini wangu, ndio maana tunahama usiku
 
Nawapongeza wanaohama usiku kwa sababu wanaepusha mengi. Ya nini kujivua utu.
 
Masaki, Oyster Bay, Nairobi, kisasa, shangani,watu wanahama mchana tu,
Huku kwetu uswazi, ni umaskini tu, sitaki watu waone jinsi magodoro,makochi, viti, vyangu vilivyochakaa,
Nakumbuka nilikuwa nahama bunju, sasa Nina vitu vya bei mbaya, ma hisence, samsung tv, friji, washing machine nk, mchana saa Saba,
Kuna namna, watu wanavyokuangalia, kama upo poa, ohhh, jamaa kumbe yupo vzr,maflat tv ya kibabe, sasa kama godoro limechakaa, sinitachekwa, mie,Bora watu wasinijue kwa undani kuhusu umaskini wangu, ndio maana tunahama usiku
Upo sahihi mkuu kwa maoni yako
 
Mahisense, masamsung, mafriji, maflat tv

Mzee kwamba uligeuza chumba cha kuishi kuwa store ya biashara au?
 
Back
Top Bottom