Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Usiku ni pazia la kuficha umaskini.
Hiki ni nini 😅😅Enzi hizo tunajitafuta nilihama saa nane kwa boda
View attachment 3607541
Astghafirullah hongera sana huo mwaka nilikua shule ya msingi😀😀😀😀 geto langu la mwaka 2005 utadhani jalala
Tunahamia nyumba mpya mkuu. Ukikaa nyumba moja inachosha huwa tunabadili mazingira.Wanahama kwenda wapi wakati tumeshapatana humu kua wana JF wote tuna Nyumba kali,Gari kali,hela za kumwaga na mazagazaga kibao?
So now unahama sa ngap?Usicheke 😄 maisha haya sema nilikuwa najiamini nahama 8 usiku
Na kukaribisha macho yenye husda, wezi , vibaka na wachawi.Mchana pazia kuanika utajiri
Ooh okSina lolote mkuu mie sieleweki
Asilimia kubwa ya wanaofanya hivyo sababu ni hiyo, kuficha umaskini.Mbona issues wanasema ety ni makorokoro
Umenikumbusha mwaka fulani mimi na mshkaji wangu tulikua tumepigika ile mbaya.Sasa familia inahama na vitu vyote vimeenea kwenye bodaboda pamoja na family members, Kwann tusihame usiku 😂