Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kumbe mnaogopeka hv 😂🙄🤒
Kumbe mnaogopeka hv 😂🙄🤒
Nimekuokota mkuuHy pia n sababu ila sio sababu kubwa.
Mtu unaenda kuishi uswahilini kwa watu waliochoka automatically Huwez kuwa na mali zitakazowavutia wezi, Ukiona Una mali Za kuwavutia wezi bc tafuta mtaa wa kuendana na hali ya uchumi wako.
Nipe pole kwa kuangangukaNimekuokota mkuu
😂tuache bhanaKumbe mnaogopeka hv 😂
Na wewe ni mkorofi wewePunguza ukali wa kisu
Swadakta!Tutafute pesa kuhama ni anytime ukiwa na vitu smart kumbe
Makali lazima yapite vzr ili ikate inapotakiwa.Punguza ukali wa kisu
Tunahamia mbweni mji mpya. Tumeji updateWanahama kwenda wapi wakati tumeshapatana humu kua wana JF wote tuna Nyumba kali,Gari kali,hela za kumwaga na mazagazaga kibao?
Hahaha mkuu hufai we shenzi kabisaaaaa 🤣🤣🤣Unapakiza vitu vyako kwenye cerry, watu wanauona vigodoro vibovu na vinu vilomeguka, matambara n.k, ha ha haaa...aibu
Au unahama na ma furniture ya maana watu macho kodo wanakuhusudu....bora tu kujistiri na hilo giza la usikuView attachment 3607517
Uje na CanterNakuja na guta hapo