Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

Vitu ni vibaya vimechoka mmiliki anaona aibu kujidhalilisha kweupe

Kwasababu ukihama mapema unapanga vitu mapema na kupmzika
 
Kama mizigo yako haifungwi kwenye ma box maalumu, jua mambo yako bado makorokoro lazma yaamishwe usiku😆😆
Mambo ni makorokoro 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Vitu ni vibaya vimechoka mmiliki anaona aibu kujidhalilisha kweupe

Kwasababu ukihama mapema unapanga vitu mapema na kupmzika
Wakuu mambo ni makorokoro ety tafuta pesa 😀😀😀 sijasema mim lakini ni maoni ya wadau
 
Back
Top Bottom