Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

Sasa familia inahama na vitu vyote vimeenea kwenye bodaboda pamoja na family members, Kwann tusihame usiku πŸ˜‚
Kwani hiyo familia si ni ndiyo maisha iliyochagua kuishi mkuu? Kwanini itishwe na kivuli chake yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…