Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa.
Unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye viwanda nao wanatoa maziwa eti kuua sumu! Tiba sahihi ya kuaminika ya haraka kwa mtu aliyekunywa sumu ni unga fulani maalumu wa makaa(Activated charcoal) huu ni mkaa ambao umechomwa kwenye hewa.
Huu mtu aliyenyweshwa sumu akibugia unaenda kuibana sumu na kuifanya isiingie kwenye damu. Huu hutengenezwa kwa hata kwa vifuu vya nazi.
Kama unafanya kazi sehemu yenye vumbi kali au hewa yenye sumu ni vema ukatumia barakoa, maziwa hayatakusaidia kitu
Mkaa huo huwa namna hii.
=======
Kupata majibu sahihi tembelea Jamiicheck: UZUSHI - Maziwa fresh ni tiba ya sumu, yanaweza kutumika kwenye mazingira ya dharura kuokoa uhai