Nani aliwadanganya Watanzania kuwa maziwa ni tiba ya mtu aliyemeza sumu?

Nani aliwadanganya Watanzania kuwa maziwa ni tiba ya mtu aliyemeza sumu?

Ngoja kwanza!

Acid + Base > Maji + chumvi

Sumu ni (Acid) + Maziwa ni (base) > baada ya kunywa maziwa molecule za ACID huvunjwa na kugeuka Maji na jasho unazikojoa kama mkojo au kuharisha!

Maziwa yanayozungumziwa hapo ni Yale ORIGINAL AMBAYO HAYAJACHANGANYWA NA MAJI
wanashauri ng'ombe wa kenyeji au mama anayenyonyesha

Note! siyo kwa kila sumu utapona, huwa Inategemea na aina ya sumu zingine hutoboi hata nusu SAA unakata
Hii chemistry umeitoa wapi, nani alikudanganya kuwa sumu zote ni acid. Nani alikudanganya maziwa ni base?
 
Maziwa yanaenda tumboni na hayo sijui mavumbi yanaenda kwwnye mapafu sasa ni wapi na wapi? Lakini bado maziwa ni muhimu kiafya.
Kwani ukiomwa na kichwa unapasuliwaga kichwa na kuwekewa kidonge si unameza tumbuni au....Tumbo ndio main area ya INPUT kwenye mwili asilimia 90 ya mahitaji ya mwili INPUT yake ni kupitia tumbo ndio hupelekwa panapohusika
 
Ngoja kwanza!

Acid + Base > Maji + chumvi

Sumu ni (Acid) + Maziwa ni (base) > baada ya kunywa maziwa molecule za ACID huvunjwa na kugeuka Maji na jasho unazikojoa kama mkojo au kuharisha!

Maziwa yanayozungumziwa hapo ni Yale ORIGINAL AMBAYO HAYAJACHANGANYWA NA MAJI
wanashauri ng'ombe wa kenyeji au mama anayenyonyesha

Note! siyo kwa kila sumu utapona, huwa Inategemea na aina ya sumu zingine hutoboi hata nusu SAA unakata

Mmh
 
Kwani ukiomwa na kichwa unapasuliwaga kichwa na kuwekewa kidonge si unameza tumbuni au....Tumbo ndio main area ya INPUT kwenye mwili asilimia 90 ya mahitaji ya mwili INPUT yake ni kupitia tumbo ndio hupelekwa panapohusika
Basi basi mkuuu🤣🤣
 
Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa. unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye viwanda nao wanatoa maziwa eti kuua sumu! Tiba sahihi ya kuaminika ya haraka kwa mtu aliyekunywa sumu ni unga fulani maalumu wa makaa(Activated charcoal) huu ni mkaa ambao umechomwa kwenye hewa. Huu mtu aliyenyweshwa sumu akibugia unaenda kuibana sumu na kuifanya isiingie kwenye damu. Huu hutengenezwa kwa hata kwa vifuu vya nazi. Kama unafanya kazi sehemu yenye vumbi kali au hewa yenye sumu ni vema ukatumia barakoa, maziwa hayatakusaidia kitu

Mkaa huo huwa namna hii.

productimg

aktiivsuse-pulber-centralsun-1-e1644948360623.jpg

2003-Activated_Charcoal-732x549-thumbnail-732x549.jpg
Nilijuaga mkaa unatibu vidonda vya tumbo tu maana nilipewa huo unga unachanganya na maziwa then unakunywa inasaidia sana
 
Unapigia dawa promo yako.wazungu wenyewe wanatumia kusaidia mtu aliyekunywa sumu.
Ndo nyie mnaoichambua teknolojia utazani mlitunga wote
Kwa sababu post ya kwanza kasema natangaza biashara wote mmeunga tela kama kondoo. Na hii ni JF ambayo kunatakiwa kuwe na Great Thinkers!!!
 
Unautumiaje? Vipi kwa makaa yanayotaka kwenye miti yenye sumu, kuna siku nilikua nikisikiliza kipindi wakisema makaa mengine ni sumu kutokana na mti uliotumika
Nakadori
 
Ni kama ile hadithi kuwa nyogo ya mamba ni sumu kumbe uongo mtupu
Ukikaa na kufikiria mambo wanayoamini wabongo sometimes unakaa na kusikitika. Sema nimegundua huwezi badili ujinga uliojikita mizizi namna hii, njia ni kuangalia namna ya kufaidika kutokana nao. Wauzie sumu ya panya, waambie ni nyongo ya mamba unatoa Congo. Panya akila hachomoki. Kesho utasikia ile sumu ya nyongo ya mamba uliyoniuzia ni kiboka.
 
Back
Top Bottom