Nani aliwadanganya Watanzania kuwa maziwa ni tiba ya mtu aliyemeza sumu?

Maziwa yanaenda tumboni na hayo sijui mavumbi yanaenda kwwnye mapafu sasa ni wapi na wapi? Lakini bado maziwa ni muhimu kiafya.
 
Hii chemistry umeitoa wapi, nani alikudanganya kuwa sumu zote ni acid. Nani alikudanganya maziwa ni base?
 
Maziwa yanaenda tumboni na hayo sijui mavumbi yanaenda kwwnye mapafu sasa ni wapi na wapi? Lakini bado maziwa ni muhimu kiafya.
Kwani ukiomwa na kichwa unapasuliwaga kichwa na kuwekewa kidonge si unameza tumbuni au....Tumbo ndio main area ya INPUT kwenye mwili asilimia 90 ya mahitaji ya mwili INPUT yake ni kupitia tumbo ndio hupelekwa panapohusika
 
Mmh
 
Basi basi mkuuu🤣🤣
 
Nilijuaga mkaa unatibu vidonda vya tumbo tu maana nilipewa huo unga unachanganya na maziwa then unakunywa inasaidia sana
 
Unapigia dawa promo yako.wazungu wenyewe wanatumia kusaidia mtu aliyekunywa sumu.
Ndo nyie mnaoichambua teknolojia utazani mlitunga wote
Kwa sababu post ya kwanza kasema natangaza biashara wote mmeunga tela kama kondoo. Na hii ni JF ambayo kunatakiwa kuwe na Great Thinkers!!!
 
Unautumiaje? Vipi kwa makaa yanayotaka kwenye miti yenye sumu, kuna siku nilikua nikisikiliza kipindi wakisema makaa mengine ni sumu kutokana na mti uliotumika
Nakadori
 
Ni kama ile hadithi kuwa nyogo ya mamba ni sumu kumbe uongo mtupu
Ukikaa na kufikiria mambo wanayoamini wabongo sometimes unakaa na kusikitika. Sema nimegundua huwezi badili ujinga uliojikita mizizi namna hii, njia ni kuangalia namna ya kufaidika kutokana nao. Wauzie sumu ya panya, waambie ni nyongo ya mamba unatoa Congo. Panya akila hachomoki. Kesho utasikia ile sumu ya nyongo ya mamba uliyoniuzia ni kiboka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…