Acheni mauzauza na ushamba wa bush.Hicho ni Kitengo Kbs, kama Wewe ni mnywa Juisi Basi poa.., Waachie Wenyewe na Kitengo chao..!
Hiyo ni mbinu Mojawapo kati ya Mbinu nyingi za Medani za Kutesti Kinywaji Kama ni Freshi au Ni fleti..!
Mbinu za Medani hizo..! Acha Kbs,eneo Hilo usiguse Kabisa...