Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?

Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
 
Hicho ni Kitengo Kbs, kama Wewe ni mnywa Juisi Basi poa.., Waachie Wenyewe na Kitengo chao..!

Hiyo ni mbinu Mojawapo kati ya Mbinu nyingi za Medani za Kutesti Kinywaji Kama ni Freshi au Ni fleti..!

Mbinu za Medani hizo..! Acha Kbs,eneo Hilo usiguse Kabisa...
 
Hata soda aisee isipotoa povu lazima niitilie shaka Pepsi au Cocacola
 
Na Hadi aimwage manaake tayari ameshaona mapungufu yake wakati inafunguliwa, ili kujiridhisha zaidi inamlazimu kuimwaga ili ajiridhishe zaidi .
 
Hicho ni Kitengo Kbs, kama Wewe ni mnywa Juisi Basi poa.., Waachie Wenyewe na Kitengo chao..!

Hiyo ni mbinu Mojawapo kati ya Mbinu nyingi za Medani za Kutesti Kinywaji Kama ni Freshi au Ni fleti..!

Mbinu za Medani hizo..! Acha Kbs,eneo Hilo usiguse Kabisa...
Acheni mauzauza na ushamba wa bush.
 
Back
Top Bottom