Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.