Nani aliwahi kununua mitumba Bujumbura?

Nani aliwahi kununua mitumba Bujumbura?

Bisindaga

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
79
Reaction score
119
Bismillah.

Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?

Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju.

Naomba mwenye maujanja ananinasue

Asanteni kwa kuja JF
 
Msikunjie wauNgwana nielekeze au km unandugu kule mchukue maelezo#
 
Mbona bujumbura wengi wanafuata nguo huku bongo nasikia wao bado sana.
 
Hamna nigga humu
Bismillah.

Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?

Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju.

Naomba mwenye maujanja ananinasue

Asanteni kwa kuja JF
Na
 
Miaka michache nyuma nilikaa huko kipindi hawajahamisha capital city kuwa Gitega vitu vingi vinatoka huku hadi hizo nguo..

Wako nyuma bado vitu wanategemea tz au rwanda ila sana ni tz maana wao na rwanda wanachekeana kichina kufunga mipaka dakika sifuri... Kama.sasa hivi wamefunga wamebakisha mmoja tu

sasa nitashangaa mtu akanunue vitu kule alete huku wakat asilimia kubwa ya vitu wanatoa huku.. Ikiwa hata rwanda tunapeleka vitu vingi

Ni nchi ndogo sana na ni landlocked sasa wanawezaje kuwa na mitumba ya bei chee kuliko huku.. Labda watoe kodi zote
 
Complete niga#
 
Back
Top Bottom