Ngoja kupambazuke usijaliMsikunjie wauNgwana nielekeze au km unandugu kule mchukue maelezo#
NaBismillah.
Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?
Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju.
Naomba mwenye maujanja ananinasue
Asanteni kwa kuja JF
Miaka michache nyuma nilikaa huko kipindi hawajahamisha capital city kuwa Gitega vitu vingi vinatoka huku hadi hizo nguo..Bismillah.
Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?
Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju.
Naomba mwenye maujanja ananinasue
Asanteni kwa kuja JF
Complete niga#Miaka michache nyuma nilikaa huko kipindi hawajahamisha capital city kuwa Gitega vitu vingi vinatoka huku hadi hizo nguo..
Wako nyuma bado vitu wanategemea tz au rwanda ila sana ni tz maana wao na rwanda wanachekeana kichina kufunga mipaka dakika sifuri... Kama.sasa hivi wamefunga wamebakisha mmoja tu
sasa nitashangaa mtu akanunue vitu kule alete huku wakat asilimia kubwa ya vitu wanatoa huku.. Ikiwa hata rwanda tunapeleka vitu vingi
Ni nchi ndogo sana na ni landlocked sasa wanawezaje kuwa na mitumba ya bei chee kuliko huku.. Labda watoe kodi zote