Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin kila msala mnataka vijana wakae frontline? Katiba tuliyonayo ni ya mwaka 77 vijana hawajazaliwa, sera mbovu na mifumo yote viliwekwa madogo bado hawajazaliwa wengine walikua watoto nyie mliokua watu wazima kipindi hicho kwanini hamkukinukisha? Mliogopa? Hamkujua kama mnaingizwa chaka? Kwanini mnataka vijana wajitoe muhanga frontline kwa uzembe/uoga wenu wa kushindwa kuzuia tatizo from the first place? Vijana, wakina baba, wakina mama na wazee wote twende frontline kuikomboa nchi yetu
Huenda wewe ni sehemu ya wanufaika, huwezi kuona tatizo lilipo.Binafsi sijaona shida iko wapi hapo maana hta walioenda ni sehemu ya walipa kodi pia na lengo ni zuri ila linapoteza maana sababu ya wakati na aina ya watu waliochaguliwa kwenda kwngu naona ndio tatzo kwani limekaa kisiasa zaidi
Twende wote frontline tukaikomboe nchi yetu babu yangu tutakusukuma hata kwenye wheel chairMjukuu wangu sisi Babu zenu tulishajichokea, inawezekana Babu zenu tulikuwa wajinga na labda bado ni wajinga, sasa wajukuu zetu mko tayari kuwa wajinga kama sisi Babu zenu?
Lakini mjukuu wangu, kwani hujui kama vijana ndio asset kwenye Taifa lolote lile? na ndio wenye nguvu zakuleta changes?
Kwenda South Korea ni kitu kimoja lakini kujifunza kitu cha kufanya uchumi wa nchi upae ni kitu tofauti.Binafsi sijaona shida iko wapi hapo maana hta walioenda ni sehemu ya walipa kodi pia na lengo ni zuri ila linapoteza maana sababu ya wakati na aina ya watu waliochaguliwa kwenda kwngu naona ndio tatzo kwani limekaa kisiasa zaidi
Fungua code hii, ni ngumu kidogoNasikia mama manunu kasema baada ya kwenda Korea kajitambua na anaetaka kuonana nae saiv ni serengeti au ngorongoro sio kwenye vibao kata,
Nchi ina watu wajinga kinoma huyu wema anashtuka kujifunika shuka kumekucha,
Wema hataki tena kuonekana kwenye visherehe vya kijinga ukihitaji kufanya nae kazi makutano ya maongezi yenu ni ngoro au serengeti,Fungua code hii, ni ngumu kidogo
Hata kama Samia anasafiri sana ni bora kuliko Magufuli ambaye alizuia shughuli za siasa, uhuru wa maoni na akawa anaua wakosoaji.Magufuli aliitwa mshamba, hajui kizungu ndio maana hatoki nje kwenda kutafuta fursa.
Mmeletewa chura kiziwi anaupiga ung'eng'e na anatoka nje na familia kwenda kutafuta fursa.
Muwe na shukurani.
Twende wote frontline tukaikomboe nchi yetu babu yangu tutakusukuma hata kwenye wheel chair
Sawa huyu tumsahihishe, ila yule hakupaswa kusahihishwa.Hata kama Samia anasafiri sana ni bora kuliko Magufuli ambaye alizuia shughuki za siasa, uhuru wa maoni na akawa anaua wakosoaji.
Tumsahihishe tu Rais Samia kwenye matumizi ya fedha lakini hatuwezi kumfananisha na DHALIMU muuaji
Daah!! Wamesahau kuwa wao ndo walituharibia mifumo yooteKwanin kila msala mnataka vijana wakae frontline? Katiba tuliyonayo ni ya mwaka 77 vijana hawajazaliwa, sera mbovu na mifumo yote viliwekwa madogo bado hawajazaliwa wengine walikua watoto nyie mliokua watu wazima kipindi hicho kwanini hamkukinukisha? Mliogopa? Hamkujua kama mnaingizwa chaka? Kwanini mnataka vijana wajitoe muhanga frontline kwa uzembe/uoga wenu wa kushindwa kuzuia tatizo from the first place? Vijana, wakina baba, wakina mama na wazee wote twende frontline kuikomboa nchi yetu
Shida hakuna professionalism. Si kila wakati ni wa maigizo au kila sehem ni kuigiza, wajifunze kuheshimu kazi, kazi hadhihakiwi hivyoHivi Tivu wake movie yake ya mwisho imetoka mwaka gani na hiki cheo cha uenyekiti hakina mwisho??? Ila mwamba kazingua anazunguka zunguka kama kichaa haeleweki
Sure…mwisho nimeona kama alitaka kuomba kinywaji muhudumu kamkazia akajichekesha…na naamini alivamia tu huko ili kujimwambafai ila hakua amepanda class hioShida hakuna professionalism. Si kila wakati ni wa maigizo au kila sehem ni kuigiza, wajifunze kuheshimu kazi, kazi hadhihakiwi hivyo
Na tutaendelea kuu uliwa mpaka akili zitukae sawa haiwezekani kwa kulalamika bila kuchukua hatua angalia jirani zetu wanavyo fanya …… khu tz mpiga kura anapigia magoti mwanasiasa mwizi tuHivi ndivyo kodi zetu na mikopo tunayokopa kila kona kila uchao inavyotumika kama tumepagawa vile.
Hatukatai serikali kuwapeleka wasanii kutoa tongo tongo na kuwapiga brush huko Korea lakini je nani anaweza kutuambia why walipiwe Business Class ambayo hata wafadhili wetu hawatumii.
Tena kipindi hiki ni peak season ya utalii hivyo tiketi za ndege ni aghali zaidi duniani kote hivyo kutumia tiket za dola 5,800 hadi dola 8,000 badala ya tiketi za dola 1,700 I ubadhirifu wa kiwango cha mauaji ya wajawazito kukosa pesa za kujifungulia na kulipia mtu mmoja tiketi ya 20m na kuacha tiketi ya 4.7m ni Insane.
Nadhani hela za mikopo na za uza uza zimetulevya tumeamua kuzitapanya huku tukibana wazee kwenye tozo na matibabu.
NI LAANA...Kuua si lazima kupiga watu shoka! Kuna mauaji ya indirect!!
Ili tulipe kodi, na wafaidike wengine kwa mambo kama haya!Tutafute pesa tu ndugu zangu.