Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ndivyo chaliTheluji dogo ama sahihi ulitakiwa uandike theluji ndogo!!??
Na upo CCM??Msakila Kabende ni msafi kabisa kabisa kabisa. Amin hili
Thibitisha kwangu, niko CCMNa upo CCM??
Mtu kusema ni msafi na yupo CCM ni sawa na kusema umevaa suti nyeupe halafu upo kwenye banda unauza Mkaa!!
Na ni wakili ambaye hajawahi muwakilisha mtu yoyote mahakamani kiufupi hajawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku ila huwa yuko busy kuwapa wanachadema ushauri wa kisheria halafu hajui hata kutetea mteja mahakamani inakuwaje.Usafi unazuia uchawa...
Huyo jamaa yako unayemsema ni chawa balaa na huwa hajali anasema nini ili mradi tu kama anachosema kinawafurahisha mabosi wake wa CCM.