Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

Usafi unazuia uchawa...

Huyo jamaa yako unayemsema ni chawa balaa na huwa hajali anasema nini ili mradi tu kama anachosema kinawafurahisha mabosi wake wa CCM.
Na ni wakili ambaye hajawahi muwakilisha mtu yoyote mahakamani kiufupi hajawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku ila huwa yuko busy kuwapa wanachadema ushauri wa kisheria halafu hajui hata kutetea mteja mahakamani inakuwaje.
 
Back
Top Bottom