Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Ukosoaji wa kutoa hoja kimalienge ni uchawa...Mtu yoyote makini hawezi kuwa chawa!, huyo jamaa sio chawa na hajawahi kuwa chawa!, jamaa ni very objective, kwenye mazuri anapongeza na kwenye mabaya anakosoa!, chawa kamwe hawezi kukosoa!.
P
Unataka kusema fulani hafai unaanza kusema ajitathimini...