Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikimsikia akifanya ' mahojiano ' yake ya Media mbalimbali hapa Madafuni / Tanzania utamsikia Msanii Ben Paul akitamba / akijifaragua / akijishebedua / akijimandingondingo kuwa Yeye ni Mfalme ( King ) of R&B kwa nchi ya Tanzania.

Naomba kwa yoyote aliye jirani nae sasa hivi anisaidie kuniulizia kwamba ni wapi na nani alimpa huo Ufalme wa R&B anaousema. Namalizia tu kwa kutoa Rai kwenu Wasanii kwamba acheni Sisi Wasikilizaji wenu ndiyo tuwasifuni na tuwatunuku na siyo mjisifu na kujitunuku wenyewe.

Nawasilisha.
 
Sawa Dada yangu Mimi nilidhani labda ' anakubaioloji ' ndiyo maana ukaamua ' Kufyatuka ' kutoka huko ' mafichoni ' kuja kumsemea, kumtetea na kumfagilia.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Labda kama anachoimba sio R&B but kama ndio sioni mwingine
Namjua Rama-dee lkn ben bado ni zaidi.

Umeanza Kujua, Kuulewa na Kuufuatilia mziki lini Mkuu? Mtu yoyote anayesema Ben Paul ni Mfalme wa R&B nadhani anatakiwa awahishwe upesi sana Wodini pale Mirembe Hospital Mkoani Dodoma kwa matibabu ya haraka.
 
Kwani TZ kuna anayeimba R&b kweli?? Mi naona marumba tu....na ladha za kibongo fleva...kidogooooo kwa mbali belle9...but hakuna anayeimba rnb
 
Umeanza Kujua, Kuulewa na Kuufuatilia mziki lini Mkuu? Mtu yoyote anayesema Ben Paul ni Mfalme wa R&B nadhani anatakiwa awahishwe upesi sana Wodini pale Mirembe Hospital Mkoani Dodoma kwa matibabu ya haraka.
Nimesema labda anachoimba sio R&B lkn kama ndio anastahili
Labda ukimtaja mwingine aliyewika huko enzi za nyuma ambae sisi kizazi cha magu tulikuwa bado hatujui mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…