Simu za mkopo zinawapa watu jeuri au siyoSimu za mkopo zipigwe marufuku
Inafuatiliwa na kila idara hakuna matango poriKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Sasa, Rais hapaswi kufuatilia vitu serious?Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Dah kumbe ni wewe kaka mkubwa jinga letu😀😀😀jikite kwenye mada
Kuna jamaa jana alikuita mpumbavu kwenye uzi wake uliochangia! Binafsi nilifikiri labda alikuwa anakuonea! Kumbe alikuwa yuko sahihi kwa 💯=Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Ukiondoa picha, una uhakika SSH hafuatilii hiyo kesi?Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
🤣 🤣 🤣 🔊Dah kumbe ni wewe kaka mkubwa jinga letu😀😀😀
Una uhakika maCCM na Raisi hawafuatilii? Hata kama ile ilkuwa ni fake lakini anfuatilia sana chura kiziwiKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy