min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kumbe ni marangu , basi sio tatizo lako bwashee .Marangu hiyo, ukweli halisi huwezi linganisha Iq ya Mbowe na Lissu na hii siyo binafsi ni kwamba mtoto aliyekuwa akila uji tu huwezi linganisha na aliyekuwa akila machalari