Vyombo gani? au vyombo vya ibirisi ccm? DPPccm, mahakamaccm, majajiccm, Polisiccm, Nchi gani anajenga? Pesa zote anakula Mbowe Amos makala chauma ubwabwa kwa njia hatamu za kishetani, kuwadhoofisha chadema kwa mabilioni ndiyo kujenga Nchi?Anajenga nchi anaacha vyombo stahiki vifanye kazi stahiki