Nani aliyemlisha Lissu matango pori eti kesi yake inafuatiliwa na Rais?

Nani aliyemlisha Lissu matango pori eti kesi yake inafuatiliwa na Rais?

Nadhan kashitakiwa na serikali ya jamhuri...Tulia alisema mkubwa wake na nchi yote Ni Rais.
Kwa muktadha huo Rais atakuwa anafuatilia kesi zote kwa nini huyu msaliti afurahie kesi yake kufuatiliwa?
 
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Wewe ndiyo umelishwa matango pori kuwa mama Mkoloni Kaburu Dikteta toka Zanzibar kuwa hafuatilii kesi ya Lisu wakati yeye ndiyo kawatuma Polisiccm wawabambikie kesi
 
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Unaumia sana lakini huu ndio ukweli nchi nzima jana tulikuwa tunafuatilia kwa umakini kazi zilisimama .Kama hujui hii kesi ni Dunia nzima washuhudia ujinga wa CCM
 
jikite kwenye mada
Acha kuvuta Bangi huko Gheto kwa ibirisi wa ccm kisha kuja na uongo wako kuwa mtukufu Dikteta mkoloni kaburu toka Zanzibar hafuatilii kesi ya Lisu wakati yeye ndiyo kawatuma Polisiccm kubambika kesi yao uongo
 
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Acha ujua akifuatilia au asipofuatilia inahusu nini, hapa ni mahakama na kesi ya mh lissu bila kujali nani yupo nyuma ya hili ,period.
Kuna sehemu mh lissu au mwendesha mashitaka amesema kesi inafuatiliwa na Rais , sio mda wa kujua hilo
 
Back
Top Bottom