kunasiku alisema mahakani hanywi dawa kwa wakati, huwa ni dawa za nini? usijekuta tunahangaika na mgonjwaKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy