Nani aliyemlisha Lissu matango pori eti kesi yake inafuatiliwa na Rais?

Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Kuna jamaa jana alikuita mpumbavu kwenye uzi wake uliochangia! Binafsi nilifikiri labda alikuwa anakuonea! Kumbe alikuwa yuko sahihi kwa 💯=
 
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Una uhakika maCCM na Raisi hawafuatilii? Hata kama ile ilkuwa ni fake lakini anfuatilia sana chura kiziwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…