Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Kama kweli wema anamimba mi nahama hii nchi
..nasubiria tu siku atakaposema mimba imechoropoka akiwa location..Idrisa kapagawa na tumbo kubwa la michemsho ya ulimi..!!
Acha nicheke kwa nguvu!
 
Miezi hiyo si alikuwa kwenye kampeni za uchaguzi?? Labda hata yeye hajui nani kampa hiyo mimba. Mpaka mtoto azaliwe apimwe DNA
 
Jamaa aliniwahi tu, ningekuwa nimemdunga
 
Ndugu yangu niko busy hatariiiii.
Ila mimba ni ya Idris,hayo mengine wanazusha tu.
Hapo ushahidi ni mugumu. Cha msingi hapo ana mimba na ndoyo zake zimetimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…