KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mimba inapachikwa au inaambukizwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anikweze nani nisipojikweza..?Acha kujikweza dogo.
DNA na yy skuizi simsikii sana sijua kaacha muziki..!?mmh mi bado siamini nataka DNA
basi tutakuwa tuko wengi...kuliko waliowahi kuburuza...mi pia bado jamani
Acha nicheke kwa nguvu!Kama kweli wema anamimba mi nahama hii nchi
..nasubiria tu siku atakaposema mimba imechoropoka akiwa location..Idrisa kapagawa na tumbo kubwa la michemsho ya ulimi..!!
Hata mimi sijaburuza, kwahy tumebaki watatu tuNa mimi pia sijaliburuza...
DNA na yy skuizi simsikii sana sijua kaacha muziki..!?
Ulisaidia kushika miguu ama?Ndugu yangu niko busy hatariiiii.
Ila mimba ni ya Idris,hayo mengine wanazusha tu.
Hapo ushahidi ni mugumu. Cha msingi hapo ana mimba na ndoyo zake zimetimia.Ndugu yangu niko busy hatariiiii.
Ila mimba ni ya Idris,hayo mengine wanazusha tu.
Sio kweli aseeNi Tanzania pekee ambapo wanawake huona ufahari wa kuzaa kabla ya ndoa😱
Na sijui kwa nini wadada wa leo wanakubali hii kitu.Ni Tanzania pekee ambapo wanawake huona ufahari wa kuzaa kabla ya ndoa😱