Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Kama kweli wema anamimba mi nahama hii nchi
..nasubiria tu siku atakaposema mimba imechoropoka akiwa location..Idrisa kapagawa na tumbo kubwa la michemsho ya ulimi..!!
Acha nicheke kwa nguvu!
 
Miezi hiyo si alikuwa kwenye kampeni za uchaguzi?? Labda hata yeye hajui nani kampa hiyo mimba. Mpaka mtoto azaliwe apimwe DNA
 
Back
Top Bottom