mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Eti nianze kumkimbilia kakobe ana miujiza,wakati kakobe wakati anauza kanda za mziki kko nlikuwa namuona,hyo miujiza aitoe wapivichwaa vyao vinakuwa vimejazwa ujinga hata akili ya kufikiria wanakosa🚮
Kaja mwamposa anafungua kanisa kinondoni alikuwa na wajanja fulani wakatengana akahamia sinza akiwa solo artist naye tunamuona eti ana miujiza
😄
Nchi imejaa wjngaaa wjngaa
Ova