Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

Huna Akili kuna Uzi wangu hapa JamiiForums na hata Moderator waliuweka kama Taarifa rejea katika Uzi wa Member mwingine ambapo ndiyo nilikuwa wa Kwanza katika kutoa ANGALIZO juu ya huyu Juha Kiboko ya Wachawi. Utafute ili uone kuwa GENTAMYCINE ni HABARI nyingine ni ZAWADI yenu ya Kitaarifa na Maono hapa JamiiForums.

Nimemaliza.
Tatizo unakuta hadi viongozi wakubwa kuanzia gavana wa mkoa ndio mashabiki wakubwa. Hivyo taarifa nyeti mnazozitoa nyie whistleblowers zinapuuzwa tu.
 
Hili ni tatizo jengine kamanda, yani kirahisi tu una-nullfy uwepo wa Mungu kwa failure ya kile ulichokitumainia mwanzo?

Yani ni kama kukana ukweli wa sayansi just kwa kuwa mwalimu wako alikuwa kilaza.
Hata mimi ni mpagani na ninamuamini Mungu wa kweli. Kanisani siendi wala nyumba yoyote ya ibada. Kiukweli wapagani ni watu walio na imani iliyo kinyume na imani ya hizi dini kubwa.
Tatizo la hao wafuasi ni kumuamini mtu baki na kumkabidhi akili na fikra zao zote, yaani anawaamulia cha kufanya.
 
Siku si nyingi nami naweza kukuiga Wewe Mkuu katika kuwa Mpagani kwani kwa sasa naona hizi Dini ni Biashara tupu.
 
Siku si nyingi nami naweza kukuiga Wewe Mkuu katika kuwa Mpagani kwani kwa sasa naona hizi Dini ni Biashara tupu.
Anza kula madini hayo kwanza, hizi ndizo wenzetu waliziita upagani kwa kuwa kinyume na imani na taratibu zao
1722334013677.png
 
Attachments

Nisichoelewa, serikali ipo wapi hadi watanzania wanaandamana kwa ajili ya maslahi ya mcongo, manake wapo tayari hadi kufanya fujo kwa ajili ya mcongo, ina maana mcongo angeweza hata kuinfluence hata wapiga kura wampigie nani kama ameshika masikio raia namna hiyo.
 
Na hili ndilo tatizo kubwa sana hapa bongo. Vyombo vya usalama vyenye jukumu la kuhakikisha wananchi wako salama vimewatelekeza wananchi, yaani hapa ni kupigwa kote kote kama ni mtu asiyejitambua vyema.
 
Hili ni tatizo jengine kamanda, yani kirahisi tu una-nullfy uwepo wa Mungu kwa failure ya kile ulichokitumainia mwanzo?

Yani ni kama kukana ukweli wa sayansi just kwa kuwa mwalimu wako alikuwa kilaza.
Unajua imani nyingi zililetwa kiujanja ujanja, lengo kuu likiwa ni kutawala watu, pili ilikuwa kupunguza unyama/ukatili uliokuwa ukifanyika miaka hiyo kwa kuwapa imani ya kusadikika.
 
NADILIKI KUSEMA ADHARANI KUWA WAKRISTO HAWANA AKILI KABISA YAANI NI WAPUMBAVU HASWA ....NDIYO MAANA WANAWAFUATA MITUME FEKI KINA KAKOBE MWAMPOSA GAMANYWA NK NA INJILI ZAO FEKI ZA SHETANI MWENYE NAFSI TATU.
Aahaaaaa
 
Wpmbv sana tena wa kutupwa

Na jamaa inaelekea wadada kawapelekea sana moto

Oca
Acha tu..... atakuwa aliwashikisha ukuta na hela zao kala.
Mtz ni mijinga kwa asili hasa kina mama wanaopeana umbea baridi na umbea moto kwa pamoja
 
Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki kubwa kutokana na Mahubiri yake ya Chuki na Fitina.

Na GENTAMYCINE nauliza kwanini System ya nchi haraka sana haikuamua Kumchunga ili asikimbie kama alivyofanya?
Lawrence Kego Masha
 
Nampongeza kwa dhati kabisa kula pesa za watu bure halikadhalika kufarakanisha familia zao,hata kudinya wake/mabinti wa watu.
Hongera sana kwake.
Nchi imejaa watu walio na akili za kujambia tu.
 
Back
Top Bottom