Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

vichwaa vyao vinakuwa vimejazwa ujinga hata akili ya kufikiria wanakosa🚮
Eti nianze kumkimbilia kakobe ana miujiza,wakati kakobe wakati anauza kanda za mziki kko nlikuwa namuona,hyo miujiza aitoe wapi
Kaja mwamposa anafungua kanisa kinondoni alikuwa na wajanja fulani wakatengana akahamia sinza akiwa solo artist naye tunamuona eti ana miujiza
😄
Nchi imejaa wjngaaa wjngaa

Ova
 
Hapo VATCAN,aliwaingiza kwenye mgogoro mkubwa Mama mmiliki na wanawe.
Jamaa alimkamata yule Mama akili,akamkabidhi Hotel nzima.Bure!
 
Ufalme wa mola mlezi unatafutwa kwa shida Sana, eeeh mola wetu mlezi naomba utusaidie kuepusha dhambi hizi amiin. 🙏
 
GENTAMYCINE wewe si unajifanyaga unajua kila kitu? Kwanini hukutoa taarifa mapema za viashiria vya huyu mtu kutoweka ili ashughulikiwe mapema na akina britanicca ?
Huna Akili kuna Uzi wangu hapa JamiiForums na hata Moderator waliuweka kama Taarifa rejea katika Uzi wa Member mwingine ambapo ndiyo nilikuwa wa Kwanza katika kutoa ANGALIZO juu ya huyu Juha Kiboko ya Wachawi. Utafute ili uone kuwa GENTAMYCINE ni HABARI nyingine ni ZAWADI yenu ya Kitaarifa na Maono hapa JamiiForums.

Nimemaliza.
 
Wajinga waliwao....siku zote kondoo anakuwa hana akili kamilifu na ndio maana mimi mtu akiniita kondoo namzabua vibao kisawasawa tu.
 
Wajinga waliwao....siku zote kondoo anakuwa hana akili kamilifu na ndio maana mimi mtu akiniita kondoo namzabua vibao kisawasawa tu.
Na wenye Nyota ya Kondoo ( nikiwemo Mimi na Hayati Baba wa Taifa Nyerere ) hapa unataka kutuambia nini labda?
 
Kuna watu wanapitia matatizo kwa muda mrefu, wanehangaika kule na kule bado kufanikiwa,
Wanaambiwa jamaa pale anasaidia ukifika anataka Hela chungu nzima ni rahisi kishawishika hata kwa kucha ha ndugu au kukopa umpe upone.
 
Halafu nazani alikuwa na Viini macho au Maji ni ya utambuzi au nguvu ya Unabii.
Ukiwa na Hela anajua na dau lako litakuwa milioni na kuendelea na utaenda kuziketa mwenyewe.

Ukifika anakuchomoa kitu au vitu mwilini kama jiwe , hirizi n.k
Kisha anakwambia bado vimebaki 2-3 au kdhaaa tena vya hatari zaidi mwilini kwa hiyo kalete shilingi kadhaa milioni uje tumalizie kuvitoa.
Yaani hii ni kweli na live jinsi alivyokuwa akifanyia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…