"Rais Lincoln alizaliwa Februari
12, 1809 na kufariki Aprili 15,
1865 akiwa na umri wa miaka
56. Rais Kennedy alizaliwa Mei
29, 1917 na kufariki dunia
Novemba 22, 1963 akiwa na umri wa miaka 46."
Kabla ya kusoma hapo, niliwaza huenda ikawa mambo ya astrology! But kutokana na hizo tarehe za kuzaliwa ni wazi kwamba sio astrology but kuna force nyengine zaidi ya astrological forces!
Nimewazia kuhusu mpango wa Mungu but nimetoka kapa kwa kuamini Mungu hawezi kupanga kitu unreasonable!
Mmmh! Hiyo burden sijui hata tumbebeshe nani!!!
Coz naamini hata shetani hawezi kupanga hivyo!
Kudadadeki, nikipata muda nitajaribu kutafuta sababu wa hiyo makitu!
...
Jee wewe (Eiyer) unafikiri ni kwanini imetokea hivyo?