PAPA OBAMA
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 204
- 86
hii ni copy and past toka gazet rai no 686 la feb 2007 alhamis mwandishEeh bana eeh imekaa safi sana hiyo!!
hii ni copy and past toka gazet rai no 686 la feb 2007 alhamis mwandish
WILLIAM SHAO heading WANAOTAKA KUONA YALIOFICHIKA zaid soma hum the
secret behind science milacle,na how to secceed Eiyer njoo ubishe hujaumiza kichwa.....

"Rais Lincoln alizaliwa Februari
12, 1809 na kufariki Aprili 15,
1865 akiwa na umri wa miaka
56. Rais Kennedy alizaliwa Mei
29, 1917 na kufariki dunia
Novemba 22, 1963 akiwa na umri wa miaka 46."
Kabla ya kusoma hapo, niliwaza huenda ikawa mambo ya astrology! But kutokana na hizo tarehe za kuzaliwa ni wazi kwamba sio astrology but kuna force nyengine zaidi ya astrological forces!
Nimewazia kuhusu mpango wa Mungu but nimetoka kapa kwa kuamini Mungu hawezi kupanga kitu unreasonable!
Mmmh! Hiyo burden sijui hata tumbebeshe nani!!!
Coz naamini hata shetani hawezi kupanga hivyo!
Kudadadeki, nikipata muda nitajaribu kutafuta sababu wa hiyo makitu!
...
Jee wewe (Eiyer) unafikiri ni kwanini imetokea hivyo?
Henry Ford alikuwa na umri wa miaka 2 tu wakati Lincolin anauwawa, huo ukumbi ulipewa vipi jina lake kwa heshima yake? Hii inatibua story nzima.Lincoln alipigwa risasi akiwa katika ukumbi ulioitwa Ford kwa heshima ya aliyekuwa mtengenezaji maarufu wa magari duniani aliyeitwa Henry Ford.
Eiyer ulichofanya sio tafiti umetafsiri tu link moja ntakutajia mda si mrefu na umetumia udhaifu wa watz kusoma newz hasa mitandao ni hujafanya tafiti usidanganye......Really?
Eiyer ulichofanya sio tafiti umetafsiri tu link moja ntakutajia mda si mrefu na umetumia udhaifu wa watz kusoma newz hasa mitandao ni hujafanya tafiti usidanganye......
Eiyer ulichofanya sio tafiti umetafsiri tu link moja ntakutajia mda si mrefu na umetumia udhaifu wa watz kusoma newz hasa mitandao ni hujafanya tafiti usidanganye......
Mkuu kuna watu nyuma ya hii kadhia
Haya sio matukio ya kutokea kwa bahati mbaya au mambo kujirudia kibahati bahati!
hii ni copy and past toka gazet rai no 686 la feb 2007 alhamis mwandish
WILLIAM SHAO heading WANAOTAKA KUONA YALIOFICHIKA zaid soma hum the
secret behind science milacle,na how to secceed Eiyer njoo ubishe hujaumiza kichwa.....
Henry Ford alikuwa na umri wa miaka 2 tu wakati Lincolin anauwawa, huo ukumbi ulipewa vipi jina lake kwa heshima yake? Hii inatibua story nzima.
Eiyer ulichofanya sio tafiti umetafsiri tu link moja ntakutajia mda si mrefu na umetumia udhaifu wa watz kusoma newz hasa mitandao ni hujafanya tafiti usidanganye......
Eiyer huku nikutafuta umaarufu wa chee unavyokoments as if umefanya strong research umetafsiri hii story hadi nukta najua nachoongea hii sio mpya man
Eiyer kama unapenda umaarufu wa chee lata na hii UTATA WA TAREHE 11NOV utapata habari nyingi tu nenda kakusanye secondary data njoo tililika watu huwa hawasomi itawapata tu na utaonekana great thinkerHa ha ha ha ha!!!