Yani anashindwa kumjali usingizi wake anahangaika na ndugu hapo maendeleo lazima uyaone kwenye bomba, hawajaligi hisia za wenzi waoHiyo ilinitokea mm bwana,alipatwa na tatizo la kifamilia basi ikawa ndo sababu,ukipiga simu hapokei ,nikamfuata akaniambia et kwa sasa hataki kuongea na mtu tofauti na ndugu zake...kila kitu kwake ,na najua yupo huku nikwambie tu wwe kaka ulinichosha kwa kweli ,sio kwa stress zile,
Wote tu sasa mke akichepuka amlalamikie naniYani anashindwa kumjali usingizi wake anahangaika na ndugu hapo maendeleo lazima uyaone kwenye bomba, hawajaligi hisia za wenzi wao
Yani had wajiuliza huyu ziko timamu kweli kichwaniSijui vichwa vyao vina nini bila bangi za tangia tumboni baba alizishindiliamo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu unakuta msomi jamaniYani had wajiuliza huyu ziko timamu kweli kichwani
Wewe mbona unatutafutia watu ban[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wangenijua nazani wangenifuata na panga wanigeje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo sampling yako hatari! Uli-date na wana mara wangapi i see hadi ukaja na hiyo generalization? Kwa vile ulitumbuliwa na wakumoyo wako basi unawachukia na ndugu zake wote? Let's be realistic hvi ktk nchi hii kweli likifanyika tamasha la makabila yenye ubahili wa hali ya juu kweli mkoa wa mara utapata nafasi ya kukaa jukwaa kuu kweli? Let us be serious bwana!Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
Over boasting! Unaongea kwa takwimu za sensa ya taifa kwamba wakurya ndio wengi mkoa wa Mara au ni kwa hisia zako tu. Ukinimbia wakurya ni wengi kwa ujumla wao yaani Kenya + Tz nitakubali lakini siyo kwa mkoa wa mara peke yake. Fanya home work tafuta takwimu za sensa ya watu na makazi kwa mkoa wa Mara.Kwa ujumla mkoa wa Mara una makabila mengi,wakurya,wajita,wajaluo na wazanaki na waikizu.wakurya wana koo nyingi na ndilo kabila kubwa mkoa wa Mara.
Kimaendeleo Tarime iko juu INA wasomi,matajiri,mashule n.k.mji wa Tarime umekuwa kutokana na nchi ya Kenya,na ndio maana wakurya wengi wanapajua Kenya vizuri kuliko Tanzania.ila kwa ujumla Nyerere alirudisha nyuma maendeleo ya wana Mara.
Yani wale shule haiwabadilishi tabia na ustaarabu tena wasomi ndo wanazidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu unakuta msomi jamani
Ndugu watu hawajui mapenzi hawako romantic badala abusu vzuri anakuparamia tu, nakuingiza kinguvu hayo mapenzi ugomvi jamani mi nimefanya ka research naosema ni ukweli badilikeni hyo tabia mjue kupwti peti mapenzi sio amri ka jeshini.Hiyo sampling yako hatari! Uli-date na wana mara wangapi i see hadi ukaja na hiyo generalization? Kwa vile ulitumbuliwa na wakumoyo wako basi unawachukia na ndugu zake wote? Let's be realistic hvi ktk nchi hii kweli likifanyika tamasha la makabila yenye ubahili wa hali ya juu kweli mkoa wa mara utapata nafasi kweli? Let us be serious bwana!
Mwanaume unajali kwanza anayekupa utamu na watoto wako ndugu wakahambe mbele huko,Sasa akujali nini ndugu ni wa mhimu kwanza wewe kazi yako ni kutoa kibumbu kitafunwe over
Utamu upo sehemu nyingi ila ndugu hawapo tofaut na haoMwanaume unajali kwanza anayekupa utamu na watoto wako ndugu wakahambe mbele huko,
Hayo mapenzi unayosema hatujui ulifanya na wanaume WOTE wa Mara?.Ndugu watu hawajui mapenzi hawako romantic badala abusu vzuri anakuparamia tu, nakuingiza kinguvu hayo mapenzi ugomvi jamani mi nimefanya ka research naosema ni ukweli badilikeni hyo tabia mjue kupwti peti mapenzi sio amri ka jeshini.
Wameamka [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mwanaume unajali kwanza anayekupa utamu na watoto wako ndugu wakahambe mbele huko,
Sikia nikwambie yaani si kuchukia bali ni kubadilika tu, piga pic hii kuna kaka hapa hapa dar alikuwa anaongea na simu kapita barabarani akawa anamuelekeza mwenzie ni mgeni sehemu hiyo akiwa barabarani yupo usawa wa nyumba ya huyo kanda maalumu huyo mwenye nyumba katoka nje eti unatizama nini, kaka yule hakuongea kitu akapita, jioni anasindikiza mgeni wake kwenda kupanda gari wanatembea yule baba katoka na panga eti leo kila unapopita unaangalia kwangu unaangalis nini ngoja nikugeje yupo siliasi kabisa ndiyo mjeda 1 akaikutia hiyo na anamfahamu huyo kijana ndiyo kumkaripia huyo baba halafu naye ni wahuko huko sasa hapo unasema nini jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wewe mbona unatutafutia watu ban[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukerewe nayo iko Mara?Jenga kijumba chako dar Mungu wangu wanahamia wote majungu sasa kwa mke wa ndugu yao usiombe uwe kabila jingine utakoma hasa wajita + wakerewe hawachelewi kukutumia mamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo huyo jamaa mmoja akafanya ugeneralize kwa wanaMara wote?Sikia nikwambie yaani si kuchukia bali ni kubadilika tu, piga pic hii kuna kaka hapa hapa dar alikuwa anaongea na simu kapita barabarani akawa anamuelekeza mwenzie ni mgeni sehemu hiyo akiwa barabarani yupo usawa wa nyumba ya huyo kanda maalumu huyo mwenye nyumba katoka nje eti unatizama nini, kaka yule hakuongea kitu akapita, jioni anasindikiza mgeni wake kwenda kupanda gari wanatembea yule baba katoka na panga eti leo kila unapopita unaangalia kwangu unaangalis nini ngoja nikugeje yupo siliasi kabisa ndiyo mjeda 1 akaikutia hiyo na anamfahamu huyo kijana ndiyo kumkaripia huyo baba halafu naye ni wahuko huko sasa hapo unasema nini jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Si unaona ulivyo mbinafs hata ww,sie tunatumia bundle zetu lakini inakuuma as if umetusaidia hela ya vochaHuu uzi ushakuwa wa majungu na mbaya zaidi wanaotoa majungu wanasema watu wa Mara wana majungu, badala ya kujadili hata kwa nini Mkoa wa Mara maendeleo ni ya taratibu mnaanza kutueleza habari za wanaume zenu, kuna mmoja hapa anatokea Tabora lakini kashupaa kusema Mara hakuna maendeleo, nyie dada mkitaka kupost habari za wanaume zenu anzisheni thread nyingine.