Tatigha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,957
- 2,027
Sasa huyo jirani alizidi umbeya...Sikia nikwambie yaani si kuchukia bali ni kubadilika tu, piga pic hii kuna kaka hapa hapa dar alikuwa anaongea na simu kapita barabarani akawa anamuelekeza mwenzie ni mgeni sehemu hiyo akiwa barabarani yupo usawa wa nyumba ya huyo kanda maalumu huyo mwenye nyumba katoka nje eti unatizama nini, kaka yule hakuongea kitu akapita, jioni anasindikiza mgeni wake kwenda kupanda gari wanatembea yule baba katoka na panga eti leo kila unapopita unaangalia kwangu unaangalis nini ngoja nikugeje yupo siliasi kabisa ndiyo mjeda 1 akaikutia hiyo na anamfahamu huyo kijana ndiyo kumkaripia huyo baba halafu naye ni wahuko huko sasa hapo unasema nini jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sisi hatutaki kufuatiliwa sana huyo alifaa kabisa kugechwa