Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Hiyo ilinitokea mm bwana,alipatwa na tatizo la kifamilia basi ikawa ndo sababu,ukipiga simu hapokei ,nikamfuata akaniambia et kwa sasa hataki kuongea na mtu tofauti na ndugu zake...kila kitu kwake ,na najua yupo huku nikwambie tu wwe kaka ulinichosha kwa kweli ,sio kwa stress zile,
Yani anashindwa kumjali usingizi wake anahangaika na ndugu hapo maendeleo lazima uyaone kwenye bomba, hawajaligi hisia za wenzi wao
 
Yani anashindwa kumjali usingizi wake anahangaika na ndugu hapo maendeleo lazima uyaone kwenye bomba, hawajaligi hisia za wenzi wao
Wote tu sasa mke akichepuka amlalamikie nani
 
Wakurya acheni waendelee kubaki hivyo hivyo, hawa jamaa hasa wanaume wanajifanyaga wao ndo wanaume kuliko wanaume wengine, utawasikia wakijigamba wanaume makabila mengine ni wanawake type 2. Sasakwa akili za kuobgeza makali ya mapanga na shoka kwajili ya kufyekana akili ya kutafuta hela kwajili ya maendeleo itoke wapi sasa..!! Waacheni waendelee kuwa hivyo hvyo na ubabe wao wanaume wenzao wanajivuna kwa kushusha mijengo ya maana makwao wao na vijibyumba vyao. Mimi hao jamaa siwapendi kinoma. Tulipokuw boarding yaani walikuw wameteka chamber nzima wakiita kuwa special Hyper chamber.. yaani hawa jamaa mm sishangai kusikia wanaendelea kuwa kama walivyokuwa 2000
 
Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
Hiyo sampling yako hatari! Uli-date na wana mara wangapi i see hadi ukaja na hiyo generalization? Kwa vile ulitumbuliwa na wakumoyo wako basi unawachukia na ndugu zake wote? Let's be realistic hvi ktk nchi hii kweli likifanyika tamasha la makabila yenye ubahili wa hali ya juu kweli mkoa wa mara utapata nafasi ya kukaa jukwaa kuu kweli? Let us be serious bwana!
 
Kwa ujumla mkoa wa Mara una makabila mengi,wakurya,wajita,wajaluo na wazanaki na waikizu.wakurya wana koo nyingi na ndilo kabila kubwa mkoa wa Mara.
Kimaendeleo Tarime iko juu INA wasomi,matajiri,mashule n.k.mji wa Tarime umekuwa kutokana na nchi ya Kenya,na ndio maana wakurya wengi wanapajua Kenya vizuri kuliko Tanzania.ila kwa ujumla Nyerere alirudisha nyuma maendeleo ya wana Mara.
Over boasting! Unaongea kwa takwimu za sensa ya taifa kwamba wakurya ndio wengi mkoa wa Mara au ni kwa hisia zako tu. Ukinimbia wakurya ni wengi kwa ujumla wao yaani Kenya + Tz nitakubali lakini siyo kwa mkoa wa mara peke yake. Fanya home work tafuta takwimu za sensa ya watu na makazi kwa mkoa wa Mara.
 
Mtu anadharau mkoa wa Mara/Musoma lakini ukienda huko kwao anakotokea unaweza ukashikwa na ganzi ya ubongo kwa mshangao! Mnataka Musoma ifanane na Dsm au Mwanza au Arusha au Mbeya? Unapolinganisha vitu lazima ulinganishe na vitu vingine vyenye sifa zinazokaribiana. Ni sawa sawa na kulinganisha Dar es Salaam na New York, au London au Hongkong! Au ni sawa kumpambanisha Tyson na Matumla kweli jamani kuna haki hapo? Mnaosema Musoma hakuna maendeleo hakuna maendeleo compared to what? Hivi tukisema tuilinganishe miji (makao makuu ya mikoa) na dar, Mwanza, Arusha almost miji yote itakuwa ipo nyuma kimaendeleo! Katika nchi yoyote duniani kuna majiji makubwa, majiji, miji na miji midogo!
 
Hiyo sampling yako hatari! Uli-date na wana mara wangapi i see hadi ukaja na hiyo generalization? Kwa vile ulitumbuliwa na wakumoyo wako basi unawachukia na ndugu zake wote? Let's be realistic hvi ktk nchi hii kweli likifanyika tamasha la makabila yenye ubahili wa hali ya juu kweli mkoa wa mara utapata nafasi kweli? Let us be serious bwana!
Ndugu watu hawajui mapenzi hawako romantic badala abusu vzuri anakuparamia tu, nakuingiza kinguvu hayo mapenzi ugomvi jamani mi nimefanya ka research naosema ni ukweli badilikeni hyo tabia mjue kupwti peti mapenzi sio amri ka jeshini.
 
Hayo mapenzi unayosema hatujui ulifanya na wanaume WOTE wa Mara?.
 
Wewe mbona unatutafutia watu ban[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sikia nikwambie yaani si kuchukia bali ni kubadilika tu, piga pic hii kuna kaka hapa hapa dar alikuwa anaongea na simu kapita barabarani akawa anamuelekeza mwenzie ni mgeni sehemu hiyo akiwa barabarani yupo usawa wa nyumba ya huyo kanda maalumu huyo mwenye nyumba katoka nje eti unatizama nini, kaka yule hakuongea kitu akapita, jioni anasindikiza mgeni wake kwenda kupanda gari wanatembea yule baba katoka na panga eti leo kila unapopita unaangalia kwangu unaangalis nini ngoja nikugeje yupo siliasi kabisa ndiyo mjeda 1 akaikutia hiyo na anamfahamu huyo kijana ndiyo kumkaripia huyo baba halafu naye ni wahuko huko sasa hapo unasema nini jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Jenga kijumba chako dar Mungu wangu wanahamia wote majungu sasa kwa mke wa ndugu yao usiombe uwe kabila jingine utakoma hasa wajita + wakerewe hawachelewi kukutumia mamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukerewe nayo iko Mara?
 
Sikia nikwambie yaani si kuchukia bali ni kubadilika tu, piga pic hii kuna kaka hapa hapa dar alikuwa anaongea na simu kapita barabarani akawa anamuelekeza mwenzie ni mgeni sehemu hiyo akiwa barabarani yupo usawa wa nyumba ya huyo kanda maalumu huyo mwenye nyumba katoka nje eti unatizama nini, kaka yule hakuongea kitu akapita, jioni anasindikiza mgeni wake kwenda kupanda gari wanatembea yule baba katoka na panga eti leo kila unapopita unaangalia kwangu unaangalis nini ngoja nikugeje yupo siliasi kabisa ndiyo mjeda 1 akaikutia hiyo na anamfahamu huyo kijana ndiyo kumkaripia huyo baba halafu naye ni wahuko huko sasa hapo unasema nini jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwahiyo huyo jamaa mmoja akafanya ugeneralize kwa wanaMara wote?

Hauoni wema wa huyo mwanajeshi wa Mara, ila unaona fujo tu za huyo mwingine.

Every society has some crooked lads, stop spreading false accusations!
 
Huu uzi ushakuwa wa majungu na mbaya zaidi wanaotoa majungu wanasema watu wa Mara wana majungu, badala ya kujadili hata kwa nini Mkoa wa Mara maendeleo ni ya taratibu mnaanza kutueleza habari za wanaume zenu, kuna mmoja hapa anatokea Tabora lakini kashupaa kusema Mara hakuna maendeleo, nyie dada mkitaka kupost habari za wanaume zenu anzisheni thread nyingine.
 
Si unaona ulivyo mbinafs hata ww,sie tunatumia bundle zetu lakini inakuuma as if umetusaidia hela ya vocha
 
Back
Top Bottom