Nakuunga mkono,wilaya inayoendelea katika mkoa wa Mara ni wilaya ya Tarime,Tarime mjini imejengeka vizuri,nimezunguka mkoa wa Mara wote, afadhali Tarime,licha ya mji wa Tarime kuwa katika katika mpangilio mzuri, pia wananchi wanamaendeleo mazuri,hospitals na vituo vya afya ni vingi sana,shule za kata,kuna kata ina shule zaidi ya tatu,wananchi wa Tarime kuna aina fulani ya kuhamasishana na kufanya maendeleo,wanaita (saiga) hao watu wakiamua hata kujenga shule mpya ndani ya mwaka mmoja huwa imekamilika,Tarime ina miji midogo miwili na sio kwamba ni midogo kivile,ni mikubwa inaenda kulingana na misungwi au Maswa,au meatu,miji hiyo ni Sirari na Nyamongo, ila Musoma mjini,Butiama,Vijijini hao ndo watu wa majungu,nimetembea musoma mjini kwa kweli ule mji umechoka sana,mkoa wa Mara una makabila mengi tu kama Wazanaki,wakurya,wajita,wajeluo,waikoma,wangoreme,waikizu na vikabila bingine vidogo ila wakurya ndo kabila ambalo watu wake wanamaendeleo, kuna hawa wajeluo nilifikapo huko Rorya,vijana wakijeluo ni kucheza madisko vumbi,karata,na pool,senta za Rorya zimechoka sana,ndo maana wengi wao wamekimbilia kuishi Tarime na baadhi ya maeneo ya Serengeti,yaani hakuna kabila nililodharau kama wajeluo,hawana muda na maendeleo yao binafsi,nyumba za tembe za nyasi ni nyingi sana Rorya,licha ya kuwa na ziwa Victoria lakini vijana wapatapo hela ni kuhonga,senta za uvuvi za Rorya zimechoka sana,nimewahi kufika sehemu moja inaitwa Sota ni senta ya uvuvi,du nilishka kiuno,imechoka sana,mji wa shirati upo karibu na ziwa kama km 10 kutoka ziwani,ndo usiseme umechoka sana,watu wa Rorya,musoma Vijijini,na mjini kiukweli mnaebisha mkoa wa Mara,tatizo la wakurya ni kuibiana ng'ombe ambao hupelekea koo kupigana,ila hayo mengine wapo vizuri