Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nafikiri laana kubwa waliyonayo ni kule kudhalilisha wanawake kwa kuwakeketa bila ridhaa yao. Mwanadamu anapokosa kiungo mwilini anakuwa si wa kawaida na anapolalamika kwa mwenyezi Mungu LAZIMA Mungu atalipizia tu. Waache kukeketa wanawake, ule ni upuuzi. Kilio cha mwanamke Mungu anakiitikia kwa kishindo.
Wewe , unajuwa ni makabila mangapi Tanzania yenye mila za kukeketa wanawake?
 
tarime.jpg
tarime.jpg
 
Maswi na Werema kwao ni Tarime na Mkono ni Butiama na sio Musoma vijijini.
Acha uongo mkuu Werema kwao sio Tarime labda huyo maswi ndo sijui lakini Werema kwao ni msoma vijijini sasa Butiama, amejenga tarafa moja ya Kiagata kijiji kinaitwa kongoto ukipita hiyo senta ya kongoto chini kidogo mkono wa kulia.
 
Werema nilijua kwao ni Wegero/Kiagata huko msoma vijijini maana kuna mtu mmoja anaewafaham vizuri aliwahi kuniambia hivyo.

Maswi pia nilidhani kwao ni hapa maeneo ya Kinesi upande wa Musoma vijijini kabla hujavuta mto.

Hilo jimbo lilikua moja kabla hawajaligawanya na mimi nimezungumzia hilo.

Ahsante kwa taarifa.
Mkuu kama unamzungumzia Werema yule aliyemuita kafulila tumbili kwao/kwake ni kongoto/kiagata.
 
Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima, jimbo la Musoma vijijini sasa hivi limegawanywa, mkono amebaki jimbo la Butiama wilaya ya Butiama na Mkono yupo jimbo la Musoma vijijini.

Kama kitu hujui kaa kimya au nyamaza kuliko kujicholesha na kuumbuliwa kama hivi.
Hata wewe hujui kitu bora unyamaze mkuu mkono hayuko musoma vijijini

Mhongo - Musoma (v)

Mkono - Butiama.
 
Kabisaaa.... kubwa kuliko yote ni wivu!! Anaweza kukukasirikia kisa tu unamzidi kitu fulani.... yupo tayari kukopa ili anunue kitu ashindane nawewe
Kiongozi naona kama mnaongelea watani zetu Wahaya!!
 
Werema nilijua kwao ni Wegero/Kiagata huko msoma vijijini maana kuna mtu mmoja anaewafaham vizuri aliwahi kuniambia hivyo.

Maswi pia nilidhani kwao ni hapa maeneo ya Kinesi upande wa Musoma vijijini kabla hujavuta mto.

Hilo jimbo lilikua moja kabla hawajaligawanya na mimi nimezungumzia hilo.

Ahsante kwa taarifa.
Kwel werema kwao ni Kongoto jirani na wegero
 
Kuhusu Wakurya Mimi binafsi hunidanganyi. Hawa watu ni wafitini na watu wa kujipendekeza na kuchongea wenzao makazini. Waulize Polisi sasa hivi wanavyolia kwa kuongozwa na Mkurya. Ni wanafiki kuliko kawaida.
Wakurya huwa sio watu wa kucompromise, ni watu wa nyeupe kuita nyeupe, watu wengi wanaowalalamikia huwa ni wale ambao washazoea kubebwa bebwa, kama unafanya kazi yako vizuri hautauona huo ufitini wao, sema sisi tumezoea unafanya kazi substandard ukiwajibishwa unamuona bosi mfitini na mnoko, yaani katika makabila ambayo nimeona ni wafitini Wakurya wapo kwenye top za mwisho.
 
Nimefanya kazi na watu wanaotokea Mara wengi wao kwa asili wana wivu sana na ni wafitini mno.
Nakumbuka waliniwekea sumu kwenye chakula moja pili wakaniwekea majambazi nusu waniue .
Hawakutosheka wakafanya juu chini nitolewe kazini.
Yaani acha hicho kimama cha bosi nikibaya sana hao watu ni wavivu na wanapenda ngono balaaa ndio raha yao nalujisifia hakuna cha elimu au nini yaani tunawajua niwabaya.
Wanaweza kukua
 
Umeeleza kwa hisia kali sana!! Hebu simulia vizuri mama ilikuwaje?
 
watu wa mara majungu na kudharauliana sio mchezo nipo nao ni majirani zangu pia
 
Umeeleza kwa hisia kali sana!! Hebu simulia vizuri mama ilikuwaje?
Walinita kazini huko kwao mara nikafanya miezi miwili tu kwa raha siku nyingine majungu visa mateso na kejeli kibao.
Nilikuwa mdogo sana.
So niliot joto la jiwe .
Kuna siku walisema nipo na bosy ndio maana na cheo.
Mama huyo alinitesa mpaka kiakili.
Akawa na shida kweli
Kajua niuongo kwisha tukaanza tena maisha wakaja eti kila siku nideki ofiso wamegoma kusafisha kisa nipo.
Kingine nikivaa nguo zakimalaya eti huko nimekuja kujiuza ukivaa chochote wanalazimisha umekosea ukifanya chochote wewe unafanya kwa maana unajiona unajua sisi hatujui.
Hawabadiliki kuwa maendelelo wao ni visa tu.
So ikaja siku moja wakanisingizia kuwa mimi nafanya hoteli kama yangu naninaipeleka kama ninavyotaka mimi kisa mi ni bi mdogo ndio tatizo nimepewa cheo wao hata form four hawajafika so ilikuwa shida mara nawapelekesha hawana raha hawawezi kufanya kazi kisa mimi nipona ninawachanganya kzi ipo ikagonga mwamba.
Sasa wakaona sumu ni sababu nayo siku ila nilisanuliwa halafu kingine wakaniwekea wabakaji na wauaji bado haijatiki kuona hivyo nikaona niache kazi.
 
Wakurya huwa sio watu wa kucompromise, ni watu wa nyeupe kuita nyeupe, watu wengi wanaowalalamikia huwa ni wale ambao washazoea kubebwa bebwa, kama unafanya kazi yako vizuri hautauona huo ufitini wao, sema sisi tumezoea unafanya kazi substandard ukiwajibishwa unamuona bosi mfitini na mnoko, yaani katika makabila ambayo nimeona ni wafitini Wakurya wapo kwenye top za mwisho.
Nawajua kuliko unavyofikiri. Siongei kutoka hewani. Ni ndugu zangu, ni rafiki zangu, ni watumishi wenzangu, ni jirani zangu.
 
Walinita kazini huko kwao mara nikafanya miezi miwili tu kwa raha siku nyingine majungu visa mateso na kejeli kibao.
Nilikuwa mdogo sana.
So niliot joto la jiwe .
Kuna siku walisema nipo na bosy ndio maana na cheo.
Mama huyo alinitesa mpaka kiakili.
Akawa na shida kweli
Kajua niuongo kwisha tukaanza tena maisha wakaja eti kila siku nideki ofiso wamegoma kusafisha kisa nipo.
Kingine nikivaa nguo zakimalaya eti huko nimekuja kujiuza ukivaa chochote wanalazimisha umekosea ukifanya chochote wewe unafanya kwa maana unajiona unajua sisi hatujui.
Hawabadiliki kuwa maendelelo wao ni visa tu.
So ikaja siku moja wakanisingizia kuwa mimi nafanya hoteli kama yangu naninaipeleka kama ninavyotaka mimi kisa mi ni bi mdogo ndio tatizo nimepewa cheo wao hata form four hawajafika so ilikuwa shida mara nawapelekesha hawana raha hawawezi kufanya kazi kisa mimi nipona ninawachanganya kzi ipo ikagonga mwamba.
Sasa wakaona sumu ni sababu nayo siku ila nilisanuliwa halafu kingine wakaniwekea wabakaji na wauaji bado haijatiki kuona hivyo nikaona niache kazi.
Hao ndo watu wa Mara ninaowafahamu, wivu wao hupelekea kuua hata kwa sababu ya kijinga. Hawana tofauti na Warangi.
 
Wewe ungesema watu wa Musoma vijijini hawaelewani. Maana hao wote kwao ni Musoma Vijijini.

Muhongo, Maswi, Werema na Mkono wote ni wa Musoma vijijini na mbunge wao alikua Mkono kabla hawajaligawanya jimbo hilo.

Watu wa Serengeti huna haja ya kuwalaum maana serikali mdio haikufanya mgawanyo sahihi wa rasilimali, Mbuga iko Serengeti ila makao makuu yakawa Arusha.

Watu wa Arusha wakaendelea kwa kutumia mgongo wa watu wa Serengeti.

Tatizo la mkoa wa Mara ni unequal distribution of resources. Mkoa wa Mara ni mkoa tajiri, una dhahabu na madini mengine karibu kila kijiji, una ziwa, una mbuga kubwa kuliko zote Afrika.

Cha ajabu, Dhahabu yote haiwasaidii watu aa Mara, migodi ya kihuni kama Meremeta imewaibia wana Mara, North Mara kila mtu anajua, Serikali ikaua viwanda vyote vya samaki, wao watauza wapi samaki? Wajita na wakwaya wamebakia kua na majungu tu maana hawana kazi nyingine ya kufanya.

Serengeti haiwasaidii wana serengeti, mbuga inayoingiza 80% ya mapato ya utalii Tanzania, cha ajabu wanaofaidika nayo ni watu wa Arusha na Kilimanjaro. Hata chuo kimoja cha utalii cha serikali cha ngazi ya cheti serikali haikuwajengea wakazi wa serengeti, vyote viko Arusha na Kilimanjaro.

Watu wa Mara hasa Serengeti na Tarime wana ardhi nzuri ya kulima, wanalima misimu 2 kwa mwaka lakini hawana masoko, wakitaka kuuza Kenya serikali haitaki, wanakua hawana namna zaidi ya wizi wa ng'ombe.

Serikali ndio imechangia kuua mkoa wa Mara. Watu wa Mara inabidi tuwalaum wenzetu waliotangulia kupata fursa kisha hawakuendeleza mkoa wetu.

Watu wengone wakipata uwaziri wa maji tu mikoa yao inakua na maji hadi ya kuogeshea kuku, urais ndio balaa.

Watu wa Mara tujifunze. Ukipata fursa itumie.
Maneno mazito haya,lakini cha ajabu sisi wenyeji wa maeneo haya bado hatujaamuka,totaimoka pare pamura peito tongekong'ainwa tutune omonto omosacha sacha kama heche atuitanele,teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom