Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Kama huo mkoa ulitoa viongozi hao wote na bado hawaelewani hata Mungu aje huo mkoa hauwezi kuendelea..

Huko mara ndiyo kuna uchawi
 
Ivi tarime ndo uifananishe na msoma?
hamjielewi nyie....
 
Hao ndo watu wa Mara ninaowafahamu, wivu wao hupelekea kuua hata kwa sababu ya kijinga. Hawana tofauti na Warangi.
Eh sawa kabisa hujakosea tulikiwa tunaishi na hao warangi ni shida kazini mtu anaogopwa kama ndiye mwenye kampuni nusu awaue wenzake wanaogombania nae uongozi wacha apewe yeye na hakuna mtu aliyetaka kushindana naye.
 
Watu wa Rorya wana wivu usiokifani jamani wanaroga hadi watoto tuombe Mungu atusaidie wajaluo sijui wana shida gani
Yaani mwanamke akizaaa katoto kazuri hakachukui muda katarogwa na kufa
 
Walinita kazini huko kwao mara nikafanya miezi miwili tu kwa raha siku nyingine majungu visa mateso na kejeli kibao.
Nilikuwa mdogo sana.
So niliot joto la jiwe .
Kuna siku walisema nipo na bosy ndio maana na cheo.
Mama huyo alinitesa mpaka kiakili.
Akawa na shida kweli
Kajua niuongo kwisha tukaanza tena maisha wakaja eti kila siku nideki ofiso wamegoma kusafisha kisa nipo.
Kingine nikivaa nguo zakimalaya eti huko nimekuja kujiuza ukivaa chochote wanalazimisha umekosea ukifanya chochote wewe unafanya kwa maana unajiona unajua sisi hatujui.
Hawabadiliki kuwa maendelelo wao ni visa tu.
So ikaja siku moja wakanisingizia kuwa mimi nafanya hoteli kama yangu naninaipeleka kama ninavyotaka mimi kisa mi ni bi mdogo ndio tatizo nimepewa cheo wao hata form four hawajafika so ilikuwa shida mara nawapelekesha hawana raha hawawezi kufanya kazi kisa mimi nipona ninawachanganya kzi ipo ikagonga mwamba.
Sasa wakaona sumu ni sababu nayo siku ila nilisanuliwa halafu kingine wakaniwekea wabakaji na wauaji bado haijatiki kuona hivyo nikaona niache kazi.
Hao watu ni shidaaa
 
Mna wivu sana!!
Sidhani kama wew unaweza kuwa mwanaume uliyekamilika,MWANAUME HALISI HAWEZI KULIA NA JAMBO DOGO KAMA "WIVU" haya ni mambo ya kupigiwa kelele na WANAWAKE,na kwa akili hizi kweli ukikutana na WATU KAMA SISI TULIO STRAIGHT katika kauli zetu kazini,lazima ulie kike kike hivi,WIVU WIVU,mwanaume na WIVU WAPI NA WAPI?.yaani unataka kuniambia moja ya changamoto kubwa inayokufanya usiendelee ni WIVU,akili umeshikiwa mkuu sio bure,Fanya mpango ukomboe akili zako!!.
 
Wewe kwenu wapi ili twende sawa humu.
Maana wengine mnabwabwaja sana vingine uongo mtupu, taja mkoa wako tukuchambue
Mkuu huyu hata usiangaike nae,ana frustration za maisha,sasa anataka kumalizia stress zake kwetu,kutukejeli,kututukana,sijui sisi,WAFITINI,WIVU,WAUAJI,WAVIVU,nk na bahati mbaya watu humu wana mchekea MJINGA kama huyu,This is unacceptable at all, and to stay quiet is to allow him going further,I can't be able to deny my identity, b'se of a single bloody fool!!.
 
Hata wewe hujui kitu bora unyamaze mkuu mkono hayuko musoma vijijini

Mhongo - Musoma (v)

Mkono - Butiama.
wewe soma vizuri nilichoandika hapo juu na kama kuna kosa la kiundashi context iko very clear. Fanculo.
 
Mkuu huyu hata usiangaike nae,ana frustration za maisha,sasa anataka kumalizia stress zake kwetu,kutukejeli,kututukana,sijui sisi,WAFITINI,WIVU,WAUAJI,WAVIVU,nk na bahati mbaya watu humu wana mchekea MJINGA kama huyu,This is unacceptable at all, and to stay quiet is to allow him going further,I can't be able to deny my identity, b'se of a single bloody fool!!.
Una wivu sana!! Una wivu wa kijinga!! Mmejawa na wivu mno watu wa huko.
 
Una wivu sana!! Una wivu wa kijinga!! Mmejawa na wivu mno watu wa huko.
I can not argue since its a level of your mind maturity and capability that gives you a clue to end up in such quite basic conclusion,no wonders at all b'se people with an average mind's level spend most of their lifetime discussing PEOPLE rather than IDEAS,keep going on!!.
 
Jenga hoja wacha hasira bwanamdogo
Me sio bwana mdogo wako,acha maskhara,heshima tu ifuate mkondo wake,kwani tukiishi pasipo matusi,kudharauliana na kuvunjiana heshima kuna ttz gan?.
HOJA ULIYOTOA NA UNAYOTAKA NIIJIBU NI IPI?.
I have told you,and i can dare to repeat Once more,I'm not here to discuss People,bring Ideas On the table we will sail in the same boat!!!.
 
I can not argue since its a level of your mind maturity and capability that gives you a clue to end up in such quite basic conclusion,no wonders at all b'se people with an average mind's level spend most of their lifetime discussing PEOPLE rather than IDEAS,keep going on!!.
Mbona kimekuuma sana? Panic na matusi yanini? Hasira za nini? Huu ndo utoto wenyewe mlionao. Tamaa na wivu wa kijinga!! Majungu na fitina
 
Back
Top Bottom