Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Kazi kweli kweli si kwa majungu hao, mi nilikuwa na boyfriend wa huko mbeya balaa hana siri mkikutana naye lazima akatangaze tu, uzalendo ukanishinda yani ni wambeya hao
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinichekeshe umbeya mpaka wachumbani duu kaka na dada sijui wapoje
 
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinichekeshe umbeya mpaka wachumbani duu kaka na dada sijui wapoje
Yani sikujua hyo tabia wewe wajua siri kumbe kila kitu hadharani inaonyesha swala la siri kwao nikitendawili
 
Na hiyo husingizia kama mke sio wa huko kwao ni(mnyamahanga) watu wenyewe wabishi hawashauriki
Kumbe nilipoachana na my Ex niliepuka balaa kbwa,maana alikuwa mbinafsi hatare,yaan halafu hawapo romantic kabisa hawa jamaa...kumbe hata kufanya maendeleo kwao ni wabinafsi..itabidi nimshukuru Mungu kuniondolea ile balaa..
 
Mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa ambayo imebahatika kutoa viongozi wengi katika Serikali zote za kuanzia muasisi wa taifa hili.Lakini ni kati ya mikoa ambayo maendeleo yake yako nyuma sana, ukifatilia kiundani ni kuwa hata viongozi ambao walipewa nyadhifa mbalimbali wao kwa wao hawaelewani bila kujali itikadi zao za vyama.

Kwa mfano Wasira na Jaji Warioba ni watu wasiopikika chungu kimoja japo wote wako ccm. Mwanasheria mkuu aliyestafu Jaji Welema na Mbunge Nimrod Mkono na Pro ,Mhongo ni maadui na uhasama huu unatokana na masilahi,baada ya kuchaguliwa Mhongo kuwa waziri wa nishati kwa kushirikiana na Mwanasheria mkuu Jaji Welema walikata mirija ya ulaji ambayo Nimrod mkono alikuwa analipwa kwenye kampuni yake ya uwanasheria kutokana na lile sakata la Dowas.

Mkono nae nae akaamua kuwalipua kwa kumpa documents Kafulila na kuwakomalia mbugeni na kusababisha Mhongo,Eriakim Maswe na Welema kupoteza nafasi.

Ninachomaanisha hapa ni kuwa viongozi kutoka mkoa wa Mara bila kujali itikadi zao ni watu ambao hawawezi kukakaa meza moja na kuzungumzia matatizo ya Mara kwa sababu wao kwa wao hawapendani.

Ni mji ambao hata miundombinu yake ni shida pamoja na kuwa na ziwa victoria lkn maji bado ni shida hasa kwa wakazi wa nje kidogo ya mji, Ukienda makao mkuu ya wilaya ya Serengeti mji wa Mugumu huwezi amini palivyo choka na wakati wako karibu na hifadhi.

Wakuu wa kaya nao wameususa kuanzia awamu ya Jk na sasa JPM ndio hana hbr kabisa na mkoa wa Mara.

Tupatiwe fursa hata viwanda vilivyokuwepo vifanye kazi pamoja na kuwa na chuo kikuu ,kwani chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere ni jina tu hakuna kinachoendelea.
Mkuu pole,unajua nilainza kwa kucheka baadaye nikahudhunika,muda mrefu sijapita huko,naona umeandika fulani na fulani hawakai meza moja,ila na wewe hawatsirikiana nawe kwa sababu umeweka mambo yao hadharani kitu amabcho hakuna anayependa.Mkuu lbada nikulize swali,hawa watu wahuko huwa wanaka utaratibu ka kwenda nyumbani wakati wa likizo?Unajua ukienda home ukakaa muda ukikuta mambo mabaya ,ukirudi mjini unachangamka kurekebisha.
Mwombeni Mungu atawasaidia,muda sijapita huko ila ulichokisema mmmh,no comment.
 
Yani hyo tabia ya kishenzi mi akanitangaza kote nilijutraa hivi wanatangaiZa ili iweje nimekoma Ku date na washamba aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]wamezoea command kwahiyo hicho kitu kilikuwa kigeni kwake lazima awajulishe na wenzie
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]wamezoea command kwahiyo hicho kitu kilikuwa kigeni kwake lazima awajulishe na wenzie
Hawajui hata kubembeleza aaargh sijui ndo nini kunisambazia ubuyu HVO,hawajui kusema sorry wao ni ubabe wakijinga hawezi admit mistakes zake always anajiona yuko right. Kwahzo tabia acha waendelee tu kubaki nyuma. Yani mahusiano yako eti wanatangaza waswahili kumbe si wambeya
 
Kwa asili mwanadamu anaposhindwa kitu hutafuta kisingizio hii ilianza na Adam kwenye bustani ya Edeni,baada ya kula tunda ambalo yeye aliagizwa na Mungu asile,alipokula,Mungu alipomwuliza kulikoni,yeye akasema si huyu mwanamke uliyenipa....Kwa hiyo ni asili ya wanadamu kutafuta kisingizio.Ukweli ni kwamba ukishindwa kitu chanzo cha kwanza ni wewe mwenyewe,kabla hujasema ni kijiji chenu au kabila lenu au mkoa wenu ni wewe mwenyewe.
Wewe hukusimama katika zamu yako,kuna kitu ulitakiwa kufanya lakini hukufanya katika wakati sahihi na mahala sahihi.
Kwa kweli nimemisi yale maziwa ya Mara nilikuwa na ya penda sana.
NB:Tuache kutafuta pakusingizia,wewe mwenyewe ndiyo tatizo,ni rahisi wewe kujibadilisha kuliko kuhangaika kuwabadilisha wengine wawe unavyotaka.Ukilijua hili you are the winner.Anza wewe na wengine watakuiga,hii dunia maisha watu ni kupiga copy wenzao.
 
Kumbe nilipoachana na my Ex niliepuka balaa kbwa,maana alikuwa mbinafsi hatare,yaan halafu hawapo romantic kabisa hawa jamaa...kumbe hata kufanya maendeleo kwao ni wabinafsi..itabidi nimshukuru Mungu kuniondolea ile balaa..
Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
 
Hawajui hata kubembeleza aaargh sijui ndo nini kunisambazia ubuyu HVO,hawajui kusema sorry wao ni ubabe wakijinga hawezi admit mistakes zake always anajiona yuko right. Kwahzo tabia acha waendelee tu kubaki nyuma. Yani mahusiano yako eti wanatangaza waswahili kumbe si wambeya
Yaan wapo hovyo kabisa..
 
Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
Umepita mulemule[emoji23] halafu eti akaja jf akasema ameniacha kwa sababu namuomba hela[emoji23] [emoji23] yaan ni wambea wa kiwango cha lami..ubahili usipime..coz toka nilikuwa na mahusino nae sikuwahi kurelax
 
Sorry hawaijui hata akose yeye anajiona yupo right ubabe kwao kisa eti mwanaume, mmoja anamwamnia mkewe kazi gani unafanya hapa kijijini watu wanafanya kazi na hawalalamiki, mkewe kamwambia kwanini hukwenda kuoa kwenu!
 
Wambeya wakiwango cha standard gauge, ubahili mbele pia wanazalisha wanawake wengi, hawajali mwanamke wao wanaona ni chombo cha starehe kisicho na thamani
 
Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
Unajua unaweza zani umekutana na maimai kumbe kanda maalumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo wake zao wanachepuka sana, wenyewe wanajua kulenga tu
 
Sorry hawaijui hata akose yeye anajiona yupo right ubabe kwao kisa eti mwanaume, mmoja anamwamnia mkewe kazi gani unafanya hapa kijijini watu wanafanya kazi na hawalalamiki, mkewe kamwambia kwanini hukwenda kuoa kwenu!
Hafu sasa ubabe mwingine hauna mantinki bora wangeuweka hata kwenye mambo ya maendeleo mtu anajifanya mbabe haeshimu familia kisa eti kidume. Malezi yakujifanya vidume yamewaharibu hao, hafu siku hizi wanapenda wanawake wa makabila mengine
 
Unajua unaweza zani umekutana na maimai kumbe kanda maalumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo wake zao wanachepuka sana, wenyewe wanajua kulenga tu
Nimecheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] kuna mtu nataka nimtag lakini nahisi ataniroga akienda kwao mara.
Maana sio kwa mapenzi yale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom