Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima

GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
 
Ongezeana wengine wapo wengi sana.. Tusubiri majibu mana hata mimi nashangazwa sana na jambo hilo
Hao wengine kama unawajua kwanini usiwaongezee hadi Mimi tena niwaongezee?

Niliowaona Mimi ni hao Saba ( 7 ) tajwa hapo juu japo najua bado wako 'Visokolokwinyo' Wengine ambao Kutwa wao ni 'Kuwashwawashwa ' tu.
 
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima

GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Bottom line,ni je mitazamo Yao,inabeba na kuelezea maslahi mapana ya watanzania?
Yeyote mwenye msimamo unaomfaidisha na kulinda maslahi ya common mwananchi,huyo tutakubaliana nae,haijalishi awe mnyarwanda,mpemba,mkenya,mganda,dada,au kaka
 
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima

GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Kwasababu hawajawa Wanafiki.
 
Ongezeana wengine wapo wengi sana.. Tusubiri majibu mana hata mimi nashangazwa sana na jambo hilo
Saizi yenu hii hapa mapopoma.. subirini aite press mkamsikilize.
😅😅😂
images (1).jpeg
 
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima

GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Hoja sio mitazamo yao ila ni ukweli
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima

GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Mitazamo yao ni mojawapo ya vioja, ukiambiwa unaumwa , fuatilia kuumwa kwako na sio aliyekimbia unaumwa
 
Back
Top Bottom