GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hao wengine kama unawajua kwanini usiwaongezee hadi Mimi tena niwaongezee?Ongezeana wengine wapo wengi sana.. Tusubiri majibu mana hata mimi nashangazwa sana na jambo hilo
Watu Wanafiki huwa na Umuhimu Kimaendeleo? Bado Tanzania kuna Wapumbavu wengi sana.Ni watu muhimu ..
Bado nipo ICU.Genta umeanza kupata nafuu.
Bottom line,ni je mitazamo Yao,inabeba na kuelezea maslahi mapana ya watanzania?1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima
GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Kwasababu hawajawa Wanafiki.1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima
GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Saizi yenu hii hapa mapopoma.. subirini aite press mkamsikilize.Ongezeana wengine wapo wengi sana.. Tusubiri majibu mana hata mimi nashangazwa sana na jambo hilo
Hoja sio mitazamo yao ila ni ukweli1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima
GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Mitazamo yao ni mojawapo ya vioja, ukiambiwa unaumwa , fuatilia kuumwa kwako na sio aliyekimbia unaumwa1. Profesa Shivji