Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.

Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.

Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.

Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.

Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
 
WAna copy tabia na taratibu za CAF. Michuano inawekewa taratibu kwa mujibu wa utashi wao.
 

Bado hujasema Utopolo,yaani mpaka useme safari hii. Yaan mziki ule unatuwekea skubidubi.
 
TATIZO HUNA AKILI.

LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.

1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk

3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.

ELIMU, ELIMU, ELIMU
 
Huna ulijualo ni Bora ukaa kimya mbumbumbu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

Kwa hiyo ngao ya jamii inatanuliwa??

Hivi wewe unajielewa kweli wewe Kama hujui kitu ni Bora kukaa kimya siyo kila kitu lazima ujibu mzee.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

Pointless [emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu, jaribu kupunguza ushamba na ujinga!!!Penda kujifunza, kudadisi na kujielimisha.Kukaa kimya ni hekima. Hawa ni wenye mpira wao. Nafikiri unawafahamu!!!!!!!!!!!!!


What is the Spanish Super Cup?


The Spanish Super Cup, changed from a two-team format to a four-team football tournament in 2019-20, features the winners and runners-up of La Liga and Copa del Rey.

Halafu unaonekana mshamba sana!!!!!!!!!!!!!
 
Uo mfumo wa kispaniola sio wa ku copy niwa kipuuzi tu. Ndio maana timu zina cheza mechi za maandalizi.
Ilitakiwa ichezwe mechi moja tu kama ni Yanga vs Simba ligi ianze.


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Samahani naomba ufafanuzi kuhusu namba 2, kwamba pesa za hisani zikiongezeka zinaweza kusaidia jamii mfano kujenga hospitali.

Hivi kumbe pesa za ngao ya jamii huwa zinaenda kwenye jamii? Yaani TFF huwa wanazipeleka kwenye jamii? Kwakweli hili nilikuwa sijui!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 


NI KWELI MKUU.

HUYU JAMAA ANAKULAZIMISHA UMTOLEE HATA MATUZI.

HUYU NI ZERO.
WAZAZI WAKE WALITAGAAAAAAA 0
 
Ngedere wewe


Mpira unatanuliwa Kwa kuwekeza kwenye ligi za chini. Yanga kafika fainali bila kuwa na hayo Mashindano ya kipumbavu. Simba anatinga robo bila huo ujinga.


Wewe ni kubwa jinga
 

Ok thanks mkuu.

Ngao ya Jamii ilikuwa mchezo mmoja.
Sasa imetoka kutoka Mchezo mmoja Hadi MICHEZO MITATU.

Kama mchezo mmoja ulikuwa unaingiza Milioni 200 x zidisha kwa MICHEZO 3 inapatikana Milioni = 600.

LENGO la MICHEZO ya Ngao ya Jamii ni kuipeleka Fedha ( sadaka ) Nahitaji kwa kundi maalum la wahitaji. (Special group)
Wazee, wagonjwa, WATOTO yatima, nk.

KAMA KUNAFEDHA NYINGI WANAWEZA KUJENGA HOSPITAL, KITUO CHA WATOTO YATIMA NK.

NADHANI NIMEELEWEKA


🙏
 
Nimeelewa. Mimi nilikuwa najua TFF wanazifanyia mambo yao! Kama huwa zinarudi kwenye jamii ni jambo zuri!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Uto mmeshaanza woga, na mtaisoma namba this season!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…