Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Ngedere wewe

Mpira unatanuliwa Kwa kuwekeza kwenye ligi za chini. Yanga kafika fainali bila kuwa na hayo Mashindano ya kipumbavu. Simba anatinga robo bila huo ujinga.

Wewe ni kubwa jinga

Asante kwa Kutumia Lugha chafu.

NIMEFUNDISHWA.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4

Kuipeleka mpira sehemu ambazo ni adimu, hakuna League Wala Mashindano makubwa ndio kuutanua zaidi mpira.
kuusogeza kwa WATU ambao walikuwa wanaangalia KUPITIA TV Na kuona MICHEZO live

Kuipeleka Mechi ya Simba na Yanga Tanga.
Mikoa ya JIRANI, Arusha, Kirimanjaro(Moshi), Mara,
Itanufaika na uwepo wa Mchezo huo.

WATU watasafiri.
Wataoana faida ya kuwa na timu LIGI KUU.
SELIKALI kuongeza mapato.
Hotel, chakula, usafiri nk.
 
Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.

Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.

Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.

Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.

Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Wenyewe wamejiona wabunifuuu!
 
Ndugu, jaribu kupunguza ushamba na ujinga!!!Penda kujifunza, kudadisi na kujielimisha.Kukaa kimya ni hekima. Hawa ni wenye mpira wao. Nafikiri unawafahamu!!!!!!!!!!!!!

What is the Spanish Super Cup?

The Spanish Super Cup, changed from a two-team format to a four-team football tournament in 2019-20, features the winners and runners-up of La Liga and Copa del Rey.

Halafu unaonekana mshamba sana!!!!!!!!!!!!!
Yaani we mjukuu wa KARIA unaona UMEANDIKA pointi kumbe ni ujuha tu Sasa katika mfumo wa kukopi huu wa kispaniola ndiyo umeona Mali??

Kweli wewe ni mbumbumbu kabisa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
TATIZO HUNA AKILI.

LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.

1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk

3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.

ELIMU, ELIMU, ELIMU
we ni moja ya watu wapumbavu kuwahi kutokea nchi hii
 
Asante kwa Kutumia Lugha chafu.

NIMEFUNDISHWA.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4

Kuipeleka mpira sehemu ambazo ni adimu, hakuna League Wala Mashindano makubwa ndio kuutanua zaidi mpira.
kuusogeza kwa WATU ambao walikuwa wanaangalia KUPITIA TV Na kuona MICHEZO live

Kuipeleka Mechi ya Simba na Yanga Tanga.
Mikoa ya JIRANI, Arusha, Kirimanjaro(Moshi), Mara,
Itanufaika na uwepo wa Mchezo huo.

WATU watasafiri.
Wataoana faida ya kuwa na timu LIGI KUU.
SELIKALI kuongeza mapato.
Hotel, chakula, usafiri nk.
Ndio maana nakwambia wewe ni ngedere hujui hata historia ya mkoa kama Tanga kwenye Soka la Tanzania. Kuwapelekea mechi za Simba na yanga sio njia pekee sahihi ya kukuza mpira wao. Wekeza kwenye ligi za chini maana hizo ndio feeders wa ligi kuu. Ndio majiko ya kuandaa wachezaji wa ligi kuu.

Huna unalojua zaidi ya kuongea ujinga tu
 
TATIZO HUNA AKILI.

LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.

1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk

3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.

ELIMU, ELIMU, ELIMU
Naunga mkono hoja
 
Sasa Simba na yanga zikicheza Tanga
Mikoa JIRANI kama.

ARUSHA.
KILIMANJARO.
MUSOMA.
MANYARA.

yote inavutika kwenda kuangalia mchezo.

Baada ya hapo NAO wanaanza kutamani kuwa na mpira kwenye Mikoa Yao.

Wanaanza kuweka strategies za kucheza LIGI KUU.

Either.
1. Kuwa na timu za vijana..

2. Kujenga Academy.

3. Kuinunua timu ya champion league mfano pamba, DTB nk.

4. Kujenga viwanja vya MICHEZO nk.

NB
HUWEZI UKASHINDANA NA MIMI KWA HOJA SI RAIS MTU YOYOTE KUNIZIDI AKILI HAPA JF. NA TZ.
 
Wewe ni mpumbavu huna unalojua.

Eti hayo Mashindano ya wiki Moja ndio yahamasishe watu kujenga viwanja vyao. Una akili tumamu kweli wewe.

Halafu eti una hoja ng'ombe wa mayele wewe
 
TATIZO HUNA AKILI.

LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.

1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk

3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.

ELIMU, ELIMU, ELIMU
Yaani wabongo kila kitu wanataka kiwe km epl

Hongera tff hii tunaiita soka letu kivyetu vyetu
 
Back
Top Bottom