1. Kwani mkuu, miaka yote nyuma wakati hii ngao ya hisani inafanyika pesa zilikuwa hazipatikani?
2. Ligi hii inachezwa mikoa karibu yote, tuna hadi ligi za wilaya na mikoa n.k unaona kabisa mpira ukisambazwa kwa match hizi za team 4 Tanzania nzima?
3. Team zinajiandaa na pre season mkuu, ndio maana Simba walikuwa Uturuki, Yanga Avic na hao wengine pia wamecheza match nyingi tu za pre season mfano Azam
Kiuhalisia kuna siasa tu hapo na watu wapige hela, hakuna jipya wala njia yoyote ya maana kusema italeta impact katika mpira
Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.
1. Pesa za mchezo mmoja ni tofauti na pesa za MICHEZO MITATU. Kama mchezo mmoja unazalisha Milioni 200 michezo MITATU itazalisha Fedha nyingi zaidi Milioni 600
Mala tatu ya mchezo mmoja.
2. LIGI zinachezwa lakini ni tofauti.
Simba na yanga ni habari nyingine, Simba na Azam ni timu Nzuri.
Zina mashabiki Kila kona ya nchi,
WATU watatamani NAO WAWE wanaziona kwenye Mikoa Yao.
WATAKUWA serious kupandisha timu ZAO kwenye LIGI KUU.
3. Maandalizi ya pre season na mchezo WA Dakika tisini WA mashindano ni vitu viwili tofauti.
Simba walikwenda UTURUKI kwa Malengo....
i. Wachezaji kuwa na stamina pumzi NGUVU.
ii. Kupata mazingira tulivy kwa maandalizi ya MSIMU.
iii. KUISHI karibu na Miundombinu Bora.
Pre season ni kuipa miwili Mazoezi Magumu mno, pumzi, NGUVU, uimara, chakula KIZURI kwa Mazoezi, nguvu, kutokuumia, ma gym machuma,
KUUTANGAZA timu nk
Pre season sio Mechi dk 90.
Ni maandalizi ya dk 90
Baada ya kucheza Mechi ndipo unaji asses preseason kama.
Wachezaji hawachoki, wananguvu, wanaelewana, Wana Kasi unayoitaka, wanaruka vizuri nk nk nk.
HILI LA SIASA SILIJUI.
NINACHOJUA MIMI NGAO YA JAMII NI KUPELEKA SADAKA KWA WAHITAJI.
TENA 100%
KAMA WEZI NI WAO ILA LENGO LA FIFA NI KUIRUDISHI JAMII, KUTAMBUA MCHANGO WAO, KUIFARIJI JAMII NK