Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Huu mfumo, Karia, ameuiga kutoka SFF ya Somalia. Nia yake, eti, ni kuzipa hizi timu matayarisho mazuri kabla ya cafcl na cafcc
Hakuna kitu Kama hicho na timu zingine za nje zinajiandaaje??
Angalia arsenal na Manchester city Ina maana wao watakua hawana maandalizi si ndiyo??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hela zinazopatikana kwenye Ngao ya Jamii.

Ni kwaajili ya hisani.
HISANI NI KUTOA SADAKA, MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU. ( Special group)

Fedha yote 100%
INATAKIWA ipelekwe kwa makundi kama.

1. WATOTO yatima.

2. Wazee.

3. Wafungwa.

4. WAKIMBIZI.

5. Wenye MATATIZO ya NGOZI, walemavu nk.
Kama anataka hela nyingi aweke timu kumi Sasa tujue moja Kama anaona mechi moja haitoshi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. Kwani mkuu, miaka yote nyuma wakati hii ngao ya hisani inafanyika pesa zilikuwa hazipatikani?

2. Ligi hii inachezwa mikoa karibu yote, tuna hadi ligi za wilaya na mikoa n.k unaona kabisa mpira ukisambazwa kwa match hizi za team 4 Tanzania nzima?

3. Team zinajiandaa na pre season mkuu, ndio maana Simba walikuwa Uturuki, Yanga Avic na hao wengine pia wamecheza match nyingi tu za pre season mfano Azam

Kiuhalisia kuna siasa tu hapo na watu wapige hela, hakuna jipya wala njia yoyote ya maana kusema italeta impact katika mpira

Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.

1. Pesa za mchezo mmoja ni tofauti na pesa za MICHEZO MITATU. Kama mchezo mmoja unazalisha Milioni 200 michezo MITATU itazalisha Fedha nyingi zaidi Milioni 600
Mala tatu ya mchezo mmoja.

2. LIGI zinachezwa lakini ni tofauti.
Simba na yanga ni habari nyingine, Simba na Azam ni timu Nzuri.
Zina mashabiki Kila kona ya nchi,
WATU watatamani NAO WAWE wanaziona kwenye Mikoa Yao.
WATAKUWA serious kupandisha timu ZAO kwenye LIGI KUU.

3. Maandalizi ya pre season na mchezo WA Dakika tisini WA mashindano ni vitu viwili tofauti.
Simba walikwenda UTURUKI kwa Malengo....

i. Wachezaji kuwa na stamina pumzi NGUVU.

ii. Kupata mazingira tulivy kwa maandalizi ya MSIMU.

iii. KUISHI karibu na Miundombinu Bora.

Pre season ni kuipa miwili Mazoezi Magumu mno, pumzi, NGUVU, uimara, chakula KIZURI kwa Mazoezi, nguvu, kutokuumia, ma gym machuma,
KUUTANGAZA timu nk

Pre season sio Mechi dk 90.
Ni maandalizi ya dk 90
Baada ya kucheza Mechi ndipo unaji asses preseason kama.
Wachezaji hawachoki, wananguvu, wanaelewana, Wana Kasi unayoitaka, wanaruka vizuri nk nk nk.

HILI LA SIASA SILIJUI.
NINACHOJUA MIMI NGAO YA JAMII NI KUPELEKA SADAKA KWA WAHITAJI.
TENA 100%

KAMA WEZI NI WAO ILA LENGO LA FIFA NI KUIRUDISHI JAMII, KUTAMBUA MCHANGO WAO, KUIFARIJI JAMII NK
 
TATIZO HUNA AKILI.

LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.

1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.

2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk

3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.

WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.

ELIMU, ELIMU, ELIMU
Huwez kumtukana mtu anapo hoji maswala kama haya.

Mkuu kama hoja ni kuziandaa na Michuano za kimataifa why kuna pre season na huko kwenye michuano utacheza na Yanga??
Kwenye michuano unacheza na waarabu bas walete nao wacheze.

Pili kuongeza mapato gani ya siku mbili au siku moja yani Team inafungwa kwaheri?
 
We niliisga KUONA akili yako.

Iyo hoja ya kuziandaa timu zinazoshiri mashindano ya kimataifa huioni???

Vitu vingine tusijidhalilishe sana jamani.

AIBU.
Kwani kabla ya huu mfumo timu zilikua zinajiandaa vipi??

Hao Manchester city na arsenal wanajiandaa vipi na timu zingingnezo ambazo hazijashiriki ngao zinajiandaaje??

Acha kudanganya watu huna hoja.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwez kumtukana mtu anapo hoji maswala kama haya.

Mkuu kama hoja ni kuziandaa na Michuano za kimataifa why kuna pre season na huko kwenye michuano utacheza na Yanga??
Kwenye michuano unacheza na waarabu bas walete nao wacheze.

Pili kuongeza mapato gani ya siku mbili au siku moja yani Team inafungwa kwaheri?

PRE SEASON SIO MAANDALIZI YA MCHEZO.

NI MAANDALIZI YA MWILI KUWA FIT KWAJILI YA MSIMU MZIMA.

MAZOEZI YA MWILI
KUKIMBIA
VYUMA.
PUMZI
CHAKULA.
GYM.
KAMNBA
NGUVU NK.

ni maandalizi ya mwili kukabiliana na msimu mzima unakuja, KUEPUKA majeraha na kuwa fit kwa MSIMU mzima

Na si maandalizi ya mchezo WA dk 90.
Mchezo wa Dakika 90 unaandaliwa kwa saa 72 kabla ya mchezo.

Nahisi utakuwa umenielewa
 
Ulitaka anitukane nikae kimya
Hakuna kitu Kama hicho kwani hawezi kujenga hoja bila ya kutukana wenzie Sina unyonge wa kijinga wa kunyamaza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi ni wewe kweli unayesema kuwa huwezi jenga hoja bila kutukana na huku wewe huyo huyo umelishindwa hilo?

My point ni kuwa haijalishi nani ameanza na nani amejibu, kwanini msijenge hoja bila matusi?
 
Kama ni hivyo mbona sheria zote za mchezo wa soka ni za kizungu? Kwanini tusianzishe na zetu kutokana na mazingira yetu?

Hoja dhaifu sana hii mkuu
Sheria za mpira zipo 17 na hazibadiliki kokote duniani ila kanuni zinabadilishwa kila siku

Kwa io tff wapo sahihi wameandaa mashindano kulingana na mazingira yetu

Kazi kwenu mnaoamini kwamba kila kitu lazima tuige kwa wazungu yaani mzungu ndio standard ya kitu hiki ni kizuri au kibaya!

Tuamke tuache kuwa na fikra kwamba kila kitu lazima tuwaige wazungu.
 
Hela zinazopatikana kwenye Ngao ya Jamii.

Ni kwaajili ya hisani.
HISANI NI KUTOA SADAKA, MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU. ( Special group)

Fedha yote 100%
INATAKIWA ipelekwe kwa makundi kama.

1. WATOTO yatima.

2. Wazee.

3. Wafungwa.

4. WAKIMBIZI.

5. Wenye MATATIZO ya NGOZI, walemavu nk.
Kwa akili yako,asilimia mia inapelekwa huko?Labda si wabongo.
 
Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.

1. Pesa za mchezo mmoja ni tofauti na pesa za MICHEZO MITATU. Kama mchezo mmoja unazalisha Milioni 200 michezo MITATU itazalisha Fedha nyingi zaidi Milioni 600
Mala tatu ya mchezo mmoja.

2. LIGI zinachezwa lakini ni tofauti.
Simba na yanga ni habari nyingine, Simba na Azam ni timu Nzuri.
Zina mashabiki Kila kona ya nchi,
WATU watatamani NAO WAWE wanaziona kwenye Mikoa Yao.
WATAKUWA serious kupandisha timu ZAO kwenye LIGI KUU.

3. Maandalizi ya pre season na mchezo WA Dakika tisini WA mashindano ni vitu viwili tofauti.
Simba walikwenda UTURUKI kwa Malengo....

i. Wachezaji kuwa na stamina pumzi NGUVU.

ii. Kupata mazingira tulivy kwa maandalizi ya MSIMU.

iii. KUISHI karibu na Miundombinu Bora.

Pre season ni kuipa miwili Mazoezi Magumu mno, pumzi, NGUVU, uimara, chakula KIZURI kwa Mazoezi, nguvu, kutokuumia, ma gym machuma,
KUUTANGAZA timu nk

Pre season sio Mechi dk 90.
Ni maandalizi ya dk 90
Baada ya kucheza Mechi ndipo unaji asses preseason kama.
Wachezaji hawachoki, wananguvu, wanaelewana, Wana Kasi unayoitaka, wanaruka vizuri nk nk nk.

HILI LA SIASA SILIJUI.
NINACHOJUA MIMI NGAO YA JAMII NI KUPELEKA SADAKA KWA WAHITAJI.
TENA 100%

KAMA WEZI NI WAO ILA LENGO LA FIFA NI KUIRUDISHI JAMII, KUTAMBUA MCHANGO WAO, KUIFARIJI JAMII NK
Tena sadaka ndo zinaliwa vizuri.Maana watu wanaamini kweli zilitolewa sadaka Kwenye kila milllion moja laki tatu sadaka,laki saba mifukoni mwa wapigaji.
 
Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.

1. Pesa za mchezo mmoja ni tofauti na pesa za MICHEZO MITATU. Kama mchezo mmoja unazalisha Milioni 200 michezo MITATU itazalisha Fedha nyingi zaidi Milioni 600
Mala tatu ya mchezo mmoja.

2. LIGI zinachezwa lakini ni tofauti.
Simba na yanga ni habari nyingine, Simba na Azam ni timu Nzuri.
Zina mashabiki Kila kona ya nchi,
WATU watatamani NAO WAWE wanaziona kwenye Mikoa Yao.
WATAKUWA serious kupandisha timu ZAO kwenye LIGI KUU.

3. Maandalizi ya pre season na mchezo WA Dakika tisini WA mashindano ni vitu viwili tofauti.
Simba walikwenda UTURUKI kwa Malengo....

i. Wachezaji kuwa na stamina pumzi NGUVU.

ii. Kupata mazingira tulivy kwa maandalizi ya MSIMU.

iii. KUISHI karibu na Miundombinu Bora.

Pre season ni kuipa miwili Mazoezi Magumu mno, pumzi, NGUVU, uimara, chakula KIZURI kwa Mazoezi, nguvu, kutokuumia, ma gym machuma,
KUUTANGAZA timu nk

Pre season sio Mechi dk 90.
Ni maandalizi ya dk 90
Baada ya kucheza Mechi ndipo unaji asses preseason kama.
Wachezaji hawachoki, wananguvu, wanaelewana, Wana Kasi unayoitaka, wanaruka vizuri nk nk nk.

HILI LA SIASA SILIJUI.
NINACHOJUA MIMI NGAO YA JAMII NI KUPELEKA SADAKA KWA WAHITAJI.
TENA 100%

KAMA WEZI NI WAO ILA LENGO LA FIFA NI KUIRUDISHI JAMII, KUTAMBUA MCHANGO WAO, KUIFARIJI JAMII NK
Yani TFF hii hii waandae mechi halafu 100% ya mapato watowe sadaka?

Wewe utakuwa hujui kwa nini Rage alifungwa jela na Wambura alikuwa na kesi ya uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom