Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Jibu hoja kaka.

Mimi hunifahamu na sikufahamu?

HIYO mishipa ya shingo umeitoa wapi???
UNAKUWA MBEA KAMA MTOTO WA KIKE, AU WEWE SI MWANAUME.

NINAWASIWASI NA JESHINI WALIVYOKUFANYA
Jeshi la ukoo wenu ndiyo linataka watu wanaofanyiwa hivyo lakini la huku halitaki michezo yenu afande Rama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hiyo ni mbinu ya karia kujitengenea mazingira ya kugombea ubunge, Tanga tayari Kuna Timu ya ligi kuu. Tanga amejenga kituo Cha michezo kupitia pesa za FIFA kingine kimejengwa Kigamboni.
Kwa Timu Timu 3 zinatoka dar es salaam hivyo ni kuziongezea gharama zisizo za msingi.
 
Naunga mkono hoja[emoji91][emoji2935]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na wakilishi hiyo siyo hoja wanaweza kulazishwa kuunga hoja
Usimuogope, nenda ukamuulize kwanza kama alilazimishwa kuunga mkono hoja au yeye ndiye aliyelazimisha wengine kuunga mkono hoja.
 
Ile kulazimisha Ngao kuwa kombe ambalo linatengeneza treble ndo kumesababisha haya yote. Imewekwa hivyo ili kuipa hadhi ya kombe hiyo Ngao ya jamii.


Pambaneni.
 
Musoma ipo karibu na Tanga? alloh!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkwakwani upate 200m kwa mechi ya simba vs singida fg? Au yanga vs azam? Labda dola zimbwabwe.
 
Wanaogopa Yanga itabeba tena so wanaiwekea vikwazo mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…